Simba kama kawa kama dawa ni mwendo wa kuteleza tu

Simba kama kawa kama dawa ni mwendo wa kuteleza tu

14900549_666037633555255_9107804385132494274_n.jpg
 
ligi bado changa
Mko nyuma pointi name mpaka sasa bado mechi mbili round ya kwanza iishe round ya pili mtaanza kuomba duwa mbaya kwa mnyama ili apoteze huku nyie mkishinda kitu ambacho sioni kikifanukiwa...
 
Mwenye jeuri aje atutoe pale juu nyambaf
ukiona Yanga anasema aubiri mcheze na Stand mtaona ujue kwisha habari yao...wamenunua mexhi kagera na kufunga magoli ya mikono haijawasaidia...
 
Halafu wakasema viwanja vya mikoani tutapata shida.

Lakini sisi tunateleza tu. Viwanja walivyoshindwa wao kupata matokeo sisi tunanyumbulika tu.
 
ukimuona simba juu ya mti basi ujue huo mti umeinama na huwa anakaa muda mfupi anashuka chini na kumuacha chui aendelee kukaa juu kama kawaida yake[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Back
Top Bottom