Licchie20
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 125
- 76
Simba si timu ya mchezo mchezo[emoji1] [emoji1]Mara ngani simba walishawahi kuongoza ligi na baadaye wakachuchumaa wakapisha wengine kuchukua ubingwa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba si timu ya mchezo mchezo[emoji1] [emoji1]Mara ngani simba walishawahi kuongoza ligi na baadaye wakachuchumaa wakapisha wengine kuchukua ubingwa wao
best kumbe team mojaaa!!!Mwenye jeuri aje atutoe pale juu nyambaf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa best chama moja tupo pamojabest kumbe team mojaaa!!!
Nyumba imara huwa na msingi imara pialigi bado changa
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] poa poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa best chama moja tupo pamoja
Mko nyuma pointi name mpaka sasa bado mechi mbili round ya kwanza iishe round ya pili mtaanza kuomba duwa mbaya kwa mnyama ili apoteze huku nyie mkishinda kitu ambacho sioni kikifanukiwa...ligi bado changa
ukiona Yanga anasema aubiri mcheze na Stand mtaona ujue kwisha habari yao...wamenunua mexhi kagera na kufunga magoli ya mikono haijawasaidia...Mwenye jeuri aje atutoe pale juu nyambaf
Haitakagi ujinga...Simba si timu ya mchezo mchezo[emoji1] [emoji1]