BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Simba kama kawa kama dawa ni mwendo wa kuteleza tu. Mwenye nguvu aje atutoe pale juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahha endelea kujipa moyo mkuu.ligi bado changa
Endeleeni kujipa Moyo hivyo hivyo.. Sisi tunachanja mbuga.ligi bado changa
Jipeni moyoLIGI bado changa kwa majimaji
Simba ana point ngapi kwaniligi bado changa
Simba kama kawa kama dawa ni mwendo wa kuteleza tu. Mwenye nguvu aje atutoe pale juu.
Sasa hivi huyu mnyama analekea stand kufanya maangamizi.Kwenye ganda la ndizi, kuteleza tu!
Namuonea huruma anayefuata kwenye kichinjio.
Sembo haya mauaji ya mnyama hayazuiliki,tutaendeleza ubabe hadi mwisho wa ligi[emoji23] [emoji23]Sasa hivi huyu mnyama analekea stand kufanya maangamizi.
kwa mnyama imekomaa kila apitaye kwetu ni kitoweoligi bado changa
tukulize wewe mkodisho fcMara ngani simba walishawahi kuongoza ligi na baadaye wakachuchumaa wakapisha wengine kuchukua ubingwa wao