Simba kama kiingereza hamuwezi andikeni kwa lugha ya kiswahil

Simba kama kiingereza hamuwezi andikeni kwa lugha ya kiswahil

Kiswahil, malefa halafu bado unapata ujasiri wa kukosoa wakati mwenyewe umeandika mavi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Typing error hutaki???
Kimzaa ndio nini ?Kilugha??Unajifanya perfect wakati hata kuandika kiswahili unashindwa!
Anyway... ujuwe huyo jamaa kakosea peke yake... YAANI YEYE MMOJA TU NDO KAKOSEA KUANDIKA maneno kama malefa, kimzaa.. etc... SIMBA WALIOKESEA NI SIMBA NZIMA....
 
Wewe mwenyewe kuandika hujui
Malefa ndio ulifundishwa kuandika hivyo
 
Maneno (Please find attached the letter...) yaliyotumika kwenye hiyo barua ni sahihi kabisa.

Ni Lugha ya kiofisi hiyo, mleta mada uwe unajiridhisha siku nyingine kabla ya kuandika mambo ambayo hauyajui.
 
Kama ni mwalimu wa simba aliyekufundisha na kusema ni sahihi mwambie aende shule tena
 
Kama ni mwalimu wa simba aliyekufundisha na kusema ni sahihi mwambie aende shule tena
Wewe ndio uende shule! Mweupe kabisa kichwani as far as this matter is concerned halafu unajifanya mjuaji.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndugu zangu tuache visa, tulishindwa kula mrembo chumbani kwetu, ngoja twende kwake tuone kama ataachia mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukale mzigo wapi? labda kinyume chake
tapatalk_1554703156180.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno (Please find attached the letter...) yaliyotumika kwenye hiyo barua ni sahihi kabisa.

Ni Lugha ya kiofisi hiyo, mleta mada uwe unajiridhisha siku nyingine kabla ya kuandika mambo ambayo hauyajui.
Siyo sahihi, labda useme ( please find the attached letter), tena hapa ni pale barua yenyewe ni kiambatanisho( annexture)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora hata angeandika please open the attached letter au please find the attached letter,hao ndio wanajiita matajiri,mikia bwana
Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna kilichokosewa hapo!
Tusipende kukosoa vitu tusivyovijua...

'Please find attached the letter'
'Please find attached my CV'
'Please find attached the report'

Hizo zote ni lugha sahihi kiofisi.!

Narudia: Tusipende kukosoa vitu tusivyovijua Bali tupende kujifunza zaidi!
 
Siyo sahihi, labda useme ( please find the attached letter), tena hapa ni pale barua yenyewe ni kiambatanisho( annexture)
Sent using Jamii Forums mobile app

Kijana,
"Please find attached the letter" ni tofauti kimaana na "Please find the attached letter". Kwa maudhui ya hiyo barua ni sahihi kabisa alichoandika.

I really hope you understand!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kagereee.Kichwa kinazama ndani.
Kwako Mwalimu Kashasha.
 
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
wanalalamika TFF wakati aliyebalisha ni CAF......Mbumbumbu FC.
 
Back
Top Bottom