Simba kama kiingereza hamuwezi andikeni kwa lugha ya kiswahil

Simba kama kiingereza hamuwezi andikeni kwa lugha ya kiswahil

wanalalamika TFF wakati aliyebalisha ni CAF......Mbumbumbu FC.
Wewe ndio popoma kweli kweli.Huwezi kufanya mawasiliano ya moja kwa moja.Ni lazima upitishe mawasiliano kwenye chama cha mpira husika hapa TFF. Ndio kanuni za CAF.
Wacha ujinga.Aliyebalisha!!!Jifunze kuandika popoma.
 
Mbona yanga timu yao ya wanawake inaitwa yanga princes
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Kumbe nawewe ni zero kichwani... siyo malefa ni Marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
T
Hakuna kilichokosewa hapo!
Tusipende kukosoa vitu tusivyovijua...

'Please find attached the letter'
'Please find attached my CV'
'Please find attached the report'

Hizo zote ni lugha sahihi kiofisi.!

Narudia: Tusipende kukosoa vitu tusivyovijua Bali tupende kujifunza zaidi!
Tuna safari ndefu sana.
 
Wewe ndio popoma kweli kweli.Huwezi kufanya mawasiliano ya moja kwa moja.Ni lazima upitishe mawasiliano kwenye chama cha mpira husika hapa TFF. Ndio kanuni za CAF.
Wacha ujinga.Aliyebalisha!!!Jifunze kuandika popoma.
Wakati wanabadilisha waliitarifu TFF were Mikia popoma aka mbu*3.
 
Ulitaka kiandikwe kiswahili wakati lugha wanazozielewa CAF na za mawasiliano ni kingereza au kifaransa?
 
Wewe ndio popoma kweli kweli.Huwezi kufanya mawasiliano ya moja kwa moja.Ni lazima upitishe mawasiliano kwenye chama cha mpira husika hapa TFF. Ndio kanuni za CAF.
Wacha ujinga.Aliyebalisha!!!Jifunze kuandika popoma.
Wakati wanabadilisha waliitarifu TFF were Mikia popoma aka mbu*3.
 
Popoma rudi shule "were" ndio nini?
Wewe unafanya kazi kwenye ofisi ya Simba?
Barua waliipata kupitia TFF.
Unapozungumzia usichokifahamu na kisichokuhusu unadhihirisha ujinga wako.
 
Back
Top Bottom