Simba kama ni kufukuzana/kutimuana tungeanza mapema

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.

Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).

Tukirejea hapa nyumbani kwasababu timu yetu imekuwa na siasa nyingi badala ya soka nitoe Rai mapema najuwa baada ya marudiano kule Misri tutaingia kwenye mtifuano wa kutafutwa mchawi wakati wanaotukwamisha wanajulikana.

Sa ni bora wanaotakiwa kutupiwa lawama au waliotufikisha hapa(Viongozi) wanaosajili watimuliwe mapema kwani wakiachwa msimu ujao wataenda kurudia haya haya ya kushindwa kutafuta vipaji vya mpira na kwenda kuokoteza wachezaji wa bei rahisi.

Hao Viongozi nawashanga wanapo kuwa wanajilinganisha na levo za Mamelod au Al Ahaly wakati wao hawana siasa na ujanja janja kwenye soka.Unakuta kiongozi anazungumzia kuhusu nusu fainali utafikiri anakutana na timu za hapa nyumbani kumbe anakutana na watu walio siriazi.

Anayehusika na scouting ya wacheji aondoke(atimuliwe) akatafute timu nyingine ya kuifanyia siasa.Na Viongozi wanao tajwa kwenye kuifanya Simba iwe timu ya propaganda nao wangeanza kutafuta shunguli nyingine ya kufanya.
 
Wanachama wa Simba ni mbumbumbu narudia Tena mbumbumbu. Ingekuwa yanga wamefunga kipigo cha aibu viongozi wao wangejiondoa au wangeondolewa. Ila wanachama wanakata kwenye vikao wanashindwa kuwawajibisha viongozi.
Mkutanoni CEO anasema mafanikio ya Simba ni kuwa na akaunti ya WhatsApp bado wanashangilia. Timu haina project ya kueleweka wanachama walianzia kuchangia uwanja pesa zimeliwa wanadanganya wamejenga ukuta kumbe wangetumia hata kufanya feasibility study ya kujua gharama na Aina ya uwanja watakaojenga.
Nimepita Jangwani nimeona wamepaki mabasi yao mawili lakini Simba Basi lao moa viongozi wamejiuzia hakuna anayehoji.
 
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.

Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).

Tukirejea hapa nyumbani kwasababu timu yetu imekuwa na siasa nyingi badala ya soka nitoe Rai mapema najuwa baada ya marudiano kule Misri tutaingia kwenye mtifuano wa kutafutwa mchawi wakati wanaotukwamisha wanajulikana.

Sa ni bora wanaotakiwa kutupiwa lawama au waliotufikisha hapa(Viongozi) wanaosajili watimuliwe mapema kwani wakiachwa msimu ujao wataenda kurudia haya haya ya kushindwa kutafuta vipaji vya mpira na kwenda kuokoteza wachezaji wa bei rahisi.

Hao Viongozi nawashanga wanapo kuwa wanajilinganisha na levo za Mamelod au Al Ahaly wakati wao hawana siasa na ujanja janja kwenye soka.Unakuta kiongozi anazungumzia kuhusu nusu fainali utafikiri anakutana na timu za hapa nyumbani kumbe anakutana na watu walio siriazi.

Anayehusika na scouting ya wacheji aondoke(atimuliwe) akatafute timu nyingine ya kuifanyia siasa.Na Viongozi wanao tajwa kwenye kuifanya Simba iwe timu ya propaganda nao wangeanza kutafuta shunguli nyingine ya kufanya.
Yaani hapo badooo..!! yaani mpaka mthemeeeeeeeeeee..!!!
 
Binafsi tukiwa ana Akina senzo simba, Nilipigania sana mambo makuu matatu ambayo ni

1. Uwekezaji.

2. Uongozi.

3. Wachezaji.

Viongozi Wakaona sisi ni viazi leo wanaabika Punbafu zao
 
Makolo jifarijini Kwa maneno haya
JamiiForums-1701649393.jpg
 
Simba matatizo yenu ni mengi, tatizo la kwanza pia ni wanachama njaa, Hawa wanachama njaa ni wale wanaofaidika na uongozi uliopo madarakani, wanalipwa posho za safari, wanapewa jezi kuuza, wanaishi kwa kutegemea viongozi waliopo pale na Hawa ndio watetezi wakubwa wa viongozi kwenye vyombo vya habari na timu kiujumla maana wanajua mlo wao uko kwao ivyo mnatakiwa nguvu kubwa kuwaondoa kina mangungu na bwana jaribu Tena vinginevyo mtaendelea kulia na kusaga meno miaka yote!
 
Binafsi tukiwa ana Akina senzo simba, Nilipigania sana mambo makuu matatu ambayo ni

1. Uwekezaji.

2. Uongozi.

3. Wachezaji.

Viongozi Wakaona sisi ni viazi leo wanaabika Punbafu zao
Mkuu hata hueleweki. Mahubiri ya achaneni na mpira ila kila nyuzi ya soka upo.
 
Simba matatizo yenu ni mengi, tatizo la kwanza pia ni wanachama njaa, Hawa wanachama njaa ni wale wanaofaidika na uongozi uliopo madarakani, wanalipwa posho za safari, wanapewa jezi kuuza, wanaishi kwa kutegemea viongozi waliopo pale na Hawa ndio watetezi wakubwa wa viongozi kwenye vyombo vya habari na timu kiujumla maana wanajua mlo wao uko kwao ivyo mnatakiwa nguvu kubwa kuwaondoa kina mangungu na bwana jaribu Tena vinginevyo mtaendelea kulia na kusaga meno miaka yote!
Ulie na kusaka meno kwa sababu ipi? Kwani shabiki analipwa Tsh ngapi kuwa akiacha kuifuatilia timu atalala njaa.? Hii ni burudani tu.
 
Binafsi tukiwa ana Akina senzo simba, Nilipigania sana mambo makuu matatu ambayo ni

1. Uwekezaji.

2. Uongozi.

3. Wachezaji.

Viongozi Wakaona sisi ni viazi leo wanaabika Punbafu zao
Kumbe ndio maana unasumbua humu kwa hasira.
 
Back
Top Bottom