Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu timu yetu imekuwa na siasa nyingi badala ya soka nitoe Rai mapema najuwa baada ya marudiano kule Misri tutaingia kwenye mtifuano wa kutafutwa mchawi wakati wanaotukwamisha wanajulikana.
Sa ni bora wanaotakiwa kutupiwa lawama au waliotufikisha hapa(Viongozi) wanaosajili watimuliwe mapema kwani wakiachwa msimu ujao wataenda kurudia haya haya ya kushindwa kutafuta vipaji vya mpira na kwenda kuokoteza wachezaji wa bei rahisi.
Hao Viongozi nawashanga wanapo kuwa wanajilinganisha na levo za Mamelod au Al Ahaly wakati wao hawana siasa na ujanja janja kwenye soka.Unakuta kiongozi anazungumzia kuhusu nusu fainali utafikiri anakutana na timu za hapa nyumbani kumbe anakutana na watu walio siriazi.
Anayehusika na scouting ya wacheji aondoke(atimuliwe) akatafute timu nyingine ya kuifanyia siasa.Na Viongozi wanao tajwa kwenye kuifanya Simba iwe timu ya propaganda nao wangeanza kutafuta shunguli nyingine ya kufanya.