ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano michoro, kusogeza umeme, kutengeneza njia za kufika hapo BUNJU n.k Lakini kama pesa hazipo basi bodi ya SIMBA ije na mkakati mpya sina hakika kama kuchanga inaweza kujenga uwanja.
Baada ya kumsikiliza RAGE unaona kabisa SIMBA kuna shida kama kweli hizo B20 zipo why tudelay kuanza ujenzi??
Na je Kama hazipo SImba kwa nn wanadanganya? Pia Rage amesisitiza Simba inabd wanunue wachezaj wazuri kuanzia local player wa ndani badala ya kuwategemea akina MZAMIRU na KIBU watu wa mechi moja moja ili mwakani wasiteseke tena.
MY TAKE kwa Simba: SIMBA KWA NINI WASIANZE NA MFUMO WA CARD kupata hela mfano
Mwanachama hai wa Simba ajisajili kwenye mfumo (online app) na kulipia let say 30,000 per year
Mshabiki ajisajili kwenye mfumo (Online app) na kulipa let say 20,000 per year naamini kuanzia hapo SIMBA INAWEZA IKAJITEGEMEA VIZURI UKIONGEZA NA HELA za AZAM, sportpesa, CAFC, CAFCC n.k mfano una wanachama 600 na mashabiki mil 3 let say unaweza kukusanya bil 60 kwa mwaka kitu ambacho inawezekana
badala ya kumtegemea mtu mmoja hii haina afya siku za mbeleni wanasimba tupige kelele bodi wanyooshe maelezo.