Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Weka videoLabda kama kuna Barbra mwingine lakini kama ni binti Gonzalez nimemsikiliza. Uwanja anaosema utaanza kujengwa bajeti yake kasema "Haizidi bil.2".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka videoLabda kama kuna Barbra mwingine lakini kama ni binti Gonzalez nimemsikiliza. Uwanja anaosema utaanza kujengwa bajeti yake kasema "Haizidi bil.2".
Umeandika ukweli kamilifuMfumo wa kujitegemea unatengenezwa siku moja!! Lazima tuelewe kila kitu kinaenda kutokana na hali halisi ya uchumi wa nchi!! Leo hii nchi yetu ambayo asilimia 90% ya raia wake wanasomeshewa watoto wao bure na serikali kutokana na uwezo wao mdogo!! Nchi ambayo raia wake asilimia 90% hawana bima za afya wanategemea msaada wa Serikali!! Kama kwenye vitu vya umuhimu kwenye maisha kama hivyo wananchi wanashindwa kumudu,watamudu kweli kuchangia michezo kikamilifu!!dunia ya leo hakuna club inachangisha pesa mashabiki wake,club inatengeneza mipango ya kupata pesa kutokana na fanbase yake,kwa kuingia mikataba mizuri,lakini hapa kwetu ni vigumu kwasababu wananchi ni masikini sana,hata kama club ina mashabiki wengi wanakuwa hawana impact kubwa kwasababu ya umaskini wao,hata timu zao haziwezi kupata mikataba ya maana kwasababu purchase power ya raia ni ndogo mno. Leo mtu kama MO hakuna faida ya moja kwa moja anayoipata kutoka Simba zaidi tu ya kujitangaza na mapenzi yake kwa mchezo wa mpira wa miguu, wengi wanaomponda ni kwasababu ya elimu ndogo,kukosa exposure,na wivu tu wa kichawi unaochangiwa na umaskini!!kumbuka maskini uwa wana roho mbaya sana. Wengi utasikia MO hajaweka b20,lakini ikiwauliza MO ana share ya asilimia 49% je wenye asilimia 51% mmeweka nini? Wanaishia kutukana,Simba na yanga ni kama familia yenye watoto wengi lakini wote ni masikini wasio na elimu,tumueshimu hasa MO ambae angalau kwa pesa zake ameifanya Simba iwe vizuri kimataifa na kuifanya ligi yetu kutambulika na angalau vilabu vingine kuogopa timu za Tanzania ambazo kipindi cha nyuma zilikuwa zimepafanya Tanzania kama sehemu ya kuchukulia pointi za bure.
Nimemsoma wewe kama unahisi sikumwelewa sema na uoneshe mimi nipo kujifunza piaHizi akili ndio mtaji mkubwa wa mo na barbra. Msome vizuri mleta mada na weka mahaba pembeni.
Rage aliifanyia nini simba? Au ndo walewale ambao wanapata akili wakishakuwa nje ya madaraka?Na mtaendelea kuchangia sana tu maana mpaka sasa ile b.20 iliyowekwa benk sijajua ina matumizi gani, kama ipo ingetumika kama dhamana ya kupata mikopo benk na kuendelea na mipango mingine ya maendeleo lakini hizi porojo inaonekana kabisa iyo ela ilikuwa changa la macho tu, Mo alitumia magumashi mengi na njia za mkato ili apewe timu haraka haraka afaidike nayo kwenye biashara zake ndo maana uwrkezaji wake umekuwa na makandokando mengi timu inaendeshwa utafikiri akuna kilichobadilika, uwezi kujua kama timu inae mwekezaji au bado iko kwenye mfumo ule ule wa kizamani, pole yenu msifikiri aya wanayohoji kina rage ni mambo ya kupuuza bali kuna vitu aviko sawa kabisa kwenye uwekezaji wa bwana Mo
Hindi haiwezi kukubali hiyo wazo hata chiku mojaSimba kumtegemea mtu mmoja na kutokuwepo uwazi ni Tatizo. Mo kuwa Simba ni vzr sana lakini lazima kila kitu kiwekwe wazi ina atengeneze mfumo wa kujitegemea ili mwisho wa siku hata kama yeye ataondoka SIMBA IBAKI SALAMA
Yaani kwa akili zako timamu Mo dewji ana 49% ameweka Billion 20,halafu unauliza 51% wameweka nini?Mfumo wa kujitegemea unatengenezwa siku moja!! Lazima tuelewe kila kitu kinaenda kutokana na hali halisi ya uchumi wa nchi!! Leo hii nchi yetu ambayo asilimia 90% ya raia wake wanasomeshewa watoto wao bure na serikali kutokana na uwezo wao mdogo!! Nchi ambayo raia wake asilimia 90% hawana bima za afya wanategemea msaada wa Serikali!! Kama kwenye vitu vya umuhimu kwenye maisha kama hivyo wananchi wanashindwa kumudu,watamudu kweli kuchangia michezo kikamilifu!!dunia ya leo hakuna club inachangisha pesa mashabiki wake,club inatengeneza mipango ya kupata pesa kutokana na fanbase yake,kwa kuingia mikataba mizuri,lakini hapa kwetu ni vigumu kwasababu wananchi ni masikini sana,hata kama club ina mashabiki wengi wanakuwa hawana impact kubwa kwasababu ya umaskini wao,hata timu zao haziwezi kupata mikataba ya maana kwasababu purchase power ya raia ni ndogo mno. Leo mtu kama MO hakuna faida ya moja kwa moja anayoipata kutoka Simba zaidi tu ya kujitangaza na mapenzi yake kwa mchezo wa mpira wa miguu, wengi wanaomponda ni kwasababu ya elimu ndogo,kukosa exposure,na wivu tu wa kichawi unaochangiwa na umaskini!!kumbuka maskini uwa wana roho mbaya sana. Wengi utasikia MO hajaweka b20,lakini ikiwauliza MO ana share ya asilimia 49% je wenye asilimia 51% mmeweka nini? Wanaishia kutukana,Simba na yanga ni kama familia yenye watoto wengi lakini wote ni masikini wasio na elimu,tumueshimu hasa MO ambae angalau kwa pesa zake ameifanya Simba iwe vizuri kimataifa na kuifanya ligi yetu kutambulika na angalau vilabu vingine kuogopa timu za Tanzania ambazo kipindi cha nyuma zilikuwa zimepafanya Tanzania kama sehemu ya kuchukulia pointi za bure.
Ww unataka nn toka kwa Mo kwa sasa akifanya utalizika?Yaani kwa akili zako timamu Mo dewji ana 49% ameweka Billion 20,halafu unauliza 51% wameweka nini?
Nenda kajifunze jinsi uwekezaji ulivyo ndani ya vilabu ambavyo wanachama wana asilimia kubwa ya umiliki.Mfano Madrid na Barcelona
Eti hakuna faida anayoiona Mo dewji moja kwa moja pale simba.......Bro hivi hujawahi kufikiri matangazo matano yaliyopo kwenye jezi za simba ndani ya miaka mitano hii.........amesave pesa kiasi for advertisment?
Real investment ya Billion 20 pale Simba wala tusingewagusa hata kidogo coz lengo la kuingia kwenye mabadiliko ya uendeshaji wa hizi timu ni ili kufanana na timu za duniani zinavyojiendesha
Naamini wanasimba mtakuja kuelewa hili siku moja masikio yenu yakipona na macho yakitoka tongotongo
Lengo sio kutafuta matokeo for temporary happiness ya timu zetu ila lengo ni kutengeneza uchumi mzuri wa kujitegemea Wa timu ili hata Mo dewji Leo hii akifariki timu haiwezi kutetereka
Mnapotosha sana, na hili linatokana na ujinga ulio kwenye vichwa vya watz wengi.Shabiki au mwanachama wa Simba akijisajiri kwa tsh.20000,asilimia 49 ambavyo ni 9800 inaenda kwa Mo Dewj.Hata hizi za Nani zaidi,mgawanyo uko hivyo,
Pole mkuu.Yaani ukija kichwa wazi na mm nakupa za kichwa wazi
Amenitusia mama yangu kwa mambo ya michezo tu(furaha na utani). Ni vile sikujua silka yake before nisinge changiaAchana nayeye huyo mwehu wa utopolo. Kichwa panzi mwishowe atakuja na matusi
Huyo mtoto bado matusi ndio hulka yake. Sema mm alinitukana nikampa yote matusi akakoma. Anautoto saana na ukimzidi hoja ndio analeta matusi tena matusi ya magumu yasiyo na ustaarabu. Anavuka kwenye ushabiki mpaka kuwa mjinga kabsa. Mpuuze tu. Vichaa ni wengiAmenitusia mama yangu kwa mambo ya michezo tu(furaha na utani). Ni vile sikujua silka yake before nisinge changia
Ndugu shukrani sana ila amenifanya niwe na stress nyingi sanaHuyo mtoto bado matusi ndio hulka yake. Sema mm alinitukana nikampa yote matusi akakoma. Anautoto saana na ukimzidi hoja ndio analeta matusi tena matusi ya magumu yasiyo na ustaarabu. Anavuka kwenye ushabiki mpaka kuwa mjinga kabsa. Mpuuze tu. Vichaa ni wengi
Ufukara ndo unaomsumbua, achaneni nae.Huyo mtoto bado matusi ndio hulka yake. Sema mm alinitukana nikampa yote matusi akakoma. Anautoto saana na ukimzidi hoja ndio analeta matusi tena matusi ya magumu yasiyo na ustaarabu. Anavuka kwenye ushabiki mpaka kuwa mjinga kabsa. Mpuuze tu. Vichaa ni wengi
Mwekezaji aweke pesa bank na hiyo ndo inakuwa dhamana ya hiyo mikopo