Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

Fei toto utamfananisha na watu kama mzamiru? Kanoute? Akpan? Mkude? Okwa?
Fei hakuna kitu anaweza kuoffer kwa timu zaidi ya mashuti akiwa kafunga macho ambayo 98% huenda nje. Zaidi ya kuifunga simba hamna kingine kinachompa namba pale Uto. Hauwezi kumfananisha na hao uliowataja kwa kuwa wameshaonesha viwango vya juu sana kwenye soka. Fei hana Achievement ya hata mmoja hapo.
 
Hapa haujacheza fair play.
 
Niletee mchezaji aliyemzidi feitoto walau kwa assist peke yake kwa msimu uliopita katika hao wachezaji tajwa hapo juu
 
Back
Top Bottom