juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
Duh ushabiki unakufanya kuwa kipofu mkuuFei hakuna kitu anaweza kuoffer kwa timu zaidi ya mashuti akiwa kafunga macho ambayo 98% huenda nje. Zaidi ya kuifunga simba hamna kingine kinachompa namba pale Uto. Hauwezi kumfananisha na hao uliowataja kwa kuwa wameshaonesha viwango vya juu sana kwenye soka. Fei hana Achievement ya hata mmoja hapo.