Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

Fei hakuna kitu anaweza kuoffer kwa timu zaidi ya mashuti akiwa kafunga macho ambayo 98% huenda nje. Zaidi ya kuifunga simba hamna kingine kinachompa namba pale Uto. Hauwezi kumfananisha na hao uliowataja kwa kuwa wameshaonesha viwango vya juu sana kwenye soka. Fei hana Achievement ya hata mmoja hapo.
nina wasiwasi umetoroka Mirembe!

Yaani Feitoto hakuna kocha alietua bongo asimkubali Zanzibar finest, hata Amunike alitaka Fei Toto acheze uwanjani peke yake timu nzima ikae nje!

Nimegundua we jamaa ukipigwa unatunza sana hasira na chuki na uchungu. Goli alilowapasua Fei Toto kule Mwanza we bado unalo rohoni.

Dogo anaupiga mpira kubali tu hata kama timu yako ni Mkia au Kolo FC
 
Leta uthibitisho kwamba huu ni uzushi.
Wewe uliyeleta huu uzi ndiyo utuwekee uthibitisho kuwa Simba wako kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Yanga Feisal ambaye bado ana mkataba wa miaka miwili na club yake hiyo. Msifanye jukwaa kama kilinge cha wachawi wapiga ramli chonganishi. Na mods na nyie mnalea ujinga mwingi sana siku hizi mtu akishavuta shisha yake ikifika utosini anajitungia uzushi na kuubandika hapa. Watu wanaanza kubishana hadi kutukanana kwa habari za kujitungia tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji wanapouzwa maana yake wanakuwa na mkataba wanakotokea. Muda utakupa majibu
 
nina wasiwasi umetoroka Mirembe!

Yaani Feitoto hakuna kocha alietua bongo asimkubali Zanzibar finest, hata Amunike alitaka Fei Toto acheze uwanjani peke yake timu nzima ikae nje!

Nimegundua we jamaa ukipigwa unatunza sana hasira na chuki na uchungu. Goli alilowapasua Fei Toto kule Mwanza we bado unalo rohoni.

Dogo anaupiga mpira kubali tu hata kama timu yako ni Mkia au Kolo FC
Achana na bangi. Huiwezi
 
Fei hakuna kitu anaweza kuoffer kwa timu zaidi ya mashuti akiwa kafunga macho ambayo 98% huenda nje. Zaidi ya kuifunga simba hamna kingine kinachompa namba pale Uto. Hauwezi kumfananisha na hao uliowataja kwa kuwa wameshaonesha viwango vya juu sana kwenye soka. Fei hana Achievement ya hata mmoja hapo.
Natamani nijue hizo achievement ambazo Feisal hana. Usije kunitajia robo fainali ya CAF coz last time I checked there is no trophy kwa kufika robo fainali.....bali recently Feisal ni trebble winner. NB kwenye kabati huweki robo fainali kwenye kabati unaweka makombe
 
Tuongelee achievement za hao wachezaji kuanzia Fei alipoanza kucheza Yanga 2018 ili tuwe fair.
Mkude na Mzamiru wamechukua ligi kuu mara 4, FA mara 2, Ngao ya jamii mara 3 na Mapinduzi cup mara 1. Kwa hiyo wana makombe walau 10 ukiachilia mbali medali za nafasi ya pili za ngao ya jamii mara 1, Mapinduzi cup mara 3 na CECAFA mara 1.
Kanoute amekuja mwaka jana Agosti na Okwa amekuja msimu huu. Haitakuwa fair kuwalinganisha labda kama tukitumia takwimu za walipotokea huko.

Feisal kuanzia 2018 achievement zake kwa upande wa makombe ni Ligi kuu mara 1, FA mara 1, Mapinduzi mara 1 na Ngao ya jamii mara 1. Medali za nafasi ya pili alizonazo ni Ngao ya jamii mara 1.

Ligi kuu hamna medali za nafasinya pili kwa kuwa haiendeshwi kwa mfumo wa mtoano.
Kwa takwimu hizo nadhani inatosha kusema kuwa Feisal hana nusu ya mafanikio ya wachezaji wanaolinganishwa naye hata ukitaka kutumia hata takwimu za wakati anacheza Zanzibar au Singida United.
 
huna akili
 
Fei hamna kitu. Anacheza vizuri dhidi ya timu alizozizoea. Ikiwa ni dhidi ya timu ngeni huwa anaruka ruka tu.
 
Back
Top Bottom