Wakati huo Tanzania haikuwa na wasomi kwani watanganyika wengi hawakuwa na elimu. Hata hivyo Simba ilikuwa timu ya wanawake ikiwa ikijulikana kama Queen kabla ya kubadilishwa kuwa Sunderland Sports Club (SSC) na baadaye mwaka 1971 kulazimishwa na Makamu wa Rais Karume kuondokana na jina la timu ya Uingereza ndipo wakajiita Simba Sports Club (SSC) ikiwa ni muda mfupi sana kabla ya kunyukwa kunyukwa na Yanga kwa bao lililofungwa na Leonard Chitete
ACHA kupotosha wewe Maamuma kama Hujui kitu uliza ufundishwe, tukueleke utoe UJINGA .
Hakuna kitu kibaya kama Kung'angania MZIGO WA UJINGA.
Simba sports club ILIOANZISHWA RASMI Mwaka 1936
Ilikuwa ainajulikana kama timu ya Malikia Elizabeth wakati HUO mtawala akiwa Malikia Elizabeth
Kabla ya Tanganyika na Tanzania Kupata uhuru TULIKUWA chini ya malikia Queen Elizabeth.
Wakaamua kubadili jina kutoka queen kwenda Eagles
wakabadili jina Tena kutoka Eagle kwenda , Dar Sunderland
Baadaye Mwaka 1971 wakabadili jina RASMI kwenda Simba (Mnyama MKALI WA lunyasi).
Queen (Simba ilikuwa ya
1. WATU watu wastarabu. Civilized
2. WATU WENYE Elimu Akili na MAARIFA.
3. Timu ya WATU Matajiri
Wafadhili WAkubwa WA Simba Alikuwa Malikia Elizabeth.
WAZUNGU waingereza.
Wahindi na wafanyabiashara.
WAARABU.
Watanganyika wenye Elimu na wasomi.
YANGA ILIKUWA YA WATU MAAMUMA