Simba kikosi kipana yaichakaza AFC goli 6

Simba kikosi kipana yaichakaza AFC goli 6

View attachment 1554480

Meddie Kagere goli 2
Rally Bwalya goli 1
Miqsonne goli 3
Mechi iliwekwa makusudi ili kupunguza watu kwa lisu lakini ilishindikana watu kuingia pamoja na bure
IMG_20200831_221024.jpeg
 
Ndo kazi ya nguruwe fc hiyo kuokoteleza vitimu vibovu ili ionekane inaupiga halafu ikukutana na wanaume wanaoiweza kazi Kama Namungo fc wanaishia kufunga magoli 2 tena yakusaidiwa na Mchezaji wa Yanga. BM33.

Hamna kikosi Hapo bwashee.
Ubongo wako uko matakoni
 
Napenda kumpongeza Luis Miquissone kwa uwezo mkubwa wa kushambulia katika game ya Simba vs Arusha fc.

Alipiga mashuti manne yaliyozaa magoli matatu ndani ya dakika 15.

Hivi ndivyo viwango vinavyotakiwa kwa mchezaji wa kimataifa na kinapaswa kiigwe na wachezaji wazawa.

Bwenos dias @luismaquissone
 
Wakati fulani unapata taabu sana hawa Mikia/Bodaboda/Mbumbumbu kumfunga Arusha FC goli sita inakuwa jambo la kujisifia timu yenyewe haina hata kambi wala hata mchezaji wa ligi kuu wameokotwa tu ndio inakuwa issue kubwa utafikiri mmefunga TP Mazembe shame on you
 
Back
Top Bottom