Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Mechi iliwekwa makusudi ili kupunguza watu kwa lisu lakini ilishindikana watu kuingia pamoja na bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi iliwekwa makusudi ili kupunguza watu kwa lisu lakini ilishindikana watu kuingia pamoja na bure
Hahahahaha bonge la recordKaz yao hii View attachment 1554492
Nanyie mlivyopigwa kimoja Cha kulalia mlikuwa wabovu?
Nanyie mlivyopigwa kimoja Cha kulalia mlikuwa wabovu?
kwa hiyoMechi iliwekwa makusudi ili kupunguza watu kwa lisu lakini ilishindikana watu kuingia pamoja na bureView attachment 1554809
Ubongo wako uko matakoniNdo kazi ya nguruwe fc hiyo kuokoteleza vitimu vibovu ili ionekane inaupiga halafu ikukutana na wanaume wanaoiweza kazi Kama Namungo fc wanaishia kufunga magoli 2 tena yakusaidiwa na Mchezaji wa Yanga. BM33.
Hamna kikosi Hapo bwashee.