Simba Kila jambo wanashangaa

Simba Kila jambo wanashangaa

Neno 'Simba' halikauki kwenye vinywa vyenu? Kweli Simba kama Maji umekataa kuyaoga hatimaye umeyanywa.
 
Ivi munatuleteaje mashetani siku ya ibada hakuna namna nikukemea pepo tuu
 
Wakati mwingine jaribu kuficha umbumbumbu wako mkuu. Kwani ni nini kipya ambacho mmefanya Yanga hajafanya kwenye Mashindano Haya tokea yaanzishwe mwaka 1998? Kumbuka mwaka huo ndiyo ligi ya mabingwa afrika ilihasisiwa. Yanga timu ya Wananchi ikawa ya kwanza kushiriki ligi hiyo, tens zikiwa timu name pekee bara zima. Kwa maneno mengine, Yang a wakati huo ilifika nane bora. Au robo fainali. Baadae mashindano hayo yakaongezewa time zikawa 16 badala ya nane za mwanzo, Simba ikafuatia kuingia makundi 2003 japo wakati huo ilikuwa 16 bora badala ya nane bora, hivyo kwa hatua hii mliyofikia Simba tunawapongeza, ila si jambo geni hapa kwetu kana kwamba hakuna club ilishaweza kufikia mafanikio hayo, tuache tabia ya kuwa waongo kwa takwimu ambazo zipo wazi. Ushabiki pembeni, Mpira wetu utasonga. Hata hivyo nawaombea Simba wafike mbali kidogo zaidi ya hapa ili mashindano yajayo tupate uwakilishi wa timu zaidi ya moja kwenye mashindano haya.
Mkuu unateseka. Ingekuwa mimi nisingekumbusha eti tulicheza makundi!!!
Mliweka rekodi ya kufungwa goli 6 bila hata kushinda mechi moja.
Unaweka picha mkicheza na Simba!!Au ile mliyoingia bure na bado mkafungwa na Mazembe?
Vipi umehamia timu gani?Baada ya waya za spika kuchomolewa jumapili?
Hivi Nkana ndio wale au kuna wengine?
Safari ya Mbeya linatembezwa bakuli .Hizo bando unazotumia hapa kuandika ujinga ungetumia hizo pesa kuchangia timu yako.
 
Hata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
 
Mkuu wacha jazba.
Mlishinda hata mechi moja kwenye makundi 1998?
Au mechi za nyumbani mlichezea Burundi?
1998 mlipewa kwa mkopo wachezaji watatu kutoka Simba. Monja Liseki,Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest.
Mlishiriki kiaibu sana kwa kufungwa goli 6 na Raja Casablanca ikiwa ni rekodi ya kufungwa goli nyingi kwa timu za Tanzania.
Hata kushiriki kwenu kwenye kombe la shirikisho makundi kumekuwa ni aibu tu.Mmemaliza wa mwisho ingawa safari hii mmeshinda mechi moja na droo moja na kufungwa mechi ziluzobakia.
 
Hata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
Wachana uongo Wewe Simba alimaliza wa tatu .
Weka makundi ya 2003 na 1998.Tuone nani anasema uongo.
 
Vyura kuujaza uwanja hadi manji aseme kiingilio bure[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu hayo mliocheza labda makundi ya rede ila sio club bingwa africa
 
Mkuu unateseka. Ingekuwa mimi nisingekumbusha eti tulicheza makundi!!!
Mliweka rekodi ya kufungwa goli 6 bila hata kushinda mechi moja.
Unaweka picha mkicheza na Simba!!Au ile mliyoingia bure na bado mkafungwa na Mazembe?
Vipi umehamia timu gani?Baada ya waya za spika kuchomolewa jumapili?
Hivi Nkana ndio wale au kuna wengine?
Safari ya Mbeya linatembezwa bakuli .Hizo bando unazotumia hapa kuandika ujinga ungetumia hizo pesa kuchangia timu yako.
Watu wanamtolea macho mkia huko wapangwe nae group 1
IMG-20181224-WA0019.jpeg
 
Wachana uongo Wewe Simba alimaliza wa tatu .
Weka makundi ya 2003 na 1998.Tuone nani anasema uongo.
Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
 
1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.
 
Mkuu sisi sio vyura. Tuanzie away Enyimba alitufunga 3-0 tarehe 10-8-2003.
Mechi ya marudiano tarehe 5-10-2003
Tuliwafunga Enyimba 2-1.
Enyimba pointi 12
Ismaily pointi 11
Simba 7
Asec Mimosa pointi 4
Kundi hili ndio lilitoa Bingwa Enyimba.
Simba iliwatoa defending champions Zamalek ndio ikaingia makundi.
 
Wacha kudanganya wapenzi was Moira wa Mo Dewji Era, Simba alitibolewa matundu na Enyinmba Home and away. Usituwekee takwimu zako za uongo mkuu.
Mkuu sisi sio vyura. Tuanzie away Enyimba alitufunga 3-0 tarehe 10-8-2003.
Mechi ya marudiano tarehe 5-10-2003
Tuliwafunga Enyimba 2-1.
Enyimba pointi 12
Ismaily pointi 11
Simba 7
Asec Mimosa pointi 4
Kundi hili ndio lilitoa Bingwa Enyimba.
Simba iliwatoa defending champions Zamalek ndio ikaingia makundi.
 
Weka za kwako unazodai. Inabidi usaidiwe. Tulifungwa na Enyimba home and away mwaka 2008 kwenye raundi ya pili.
Lakini kwenye makundi 2003 walitufunga nje tukawafunga nyumbani tarehe 5 okt 2003.Ni rahisi google upate ushahidi. Au ulianza ushabiki 2008.?
 
Sasa nakuwekea pot za draw ya Ijumaa.Tarehe 28/12/2018

Pot 1
TP Mazembe -DR Congo
Al ahly-Egypt
Waydad Casablanca-Morocco
Esperance -Tunisia
Pot 2
Mamelodi Sundowns-South Africa
As Vita -DR Congo
Horoya-Guinea Conakry
Club Africain-Tunisia
Pot3
Asec Mimosa -Ivory Coast
Orlando Pirates-South Africa
Simba-Tanzania
CS Constantine-Algeria
Pot 4
Ismaily-Egypt
Lobi Stars-Nigeria
FC Platinum -Zimbabwe
Ja Soura-Algeria
Nipo jikoni sijaanza kupenda mpira enzi za 2008 kama wewe.
2003 ilikuwa too much to ask labda ulikuwa na miaka 8 na hujajua mpira.
Mbona hujarudi au unatafuta data bado?
.Pukachaka!!!!
 
1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.
Ni Wagumu kuelewa mkuu
 
Sasa nakuwekea pot za draw ya Ijumaa.Tarehe 28/12/2018

Pot 1
TP Mazembe -DR Congo
Al ahly-Egypt
Waydad Casablanca-Morocco
Esperance -Tunisia
Pot 2
Mamelodi Sundowns-South Africa
As Vita -DR Congo
Horoya-Guinea Conakry
Club Africain-Tunisia
Pot3
Asec Mimosa -Ivory Coast
Orlando Pirates-South Africa
Simba-Tanzania
CS Constantine-Algeria
Pot 4
Ismaily-Egypt
Lobi Stars-Nigeria
FC Platinum -Zimbabwe
Ja Soura-Algeria
Nipo jikoni sijaanza kupenda mpira enzi za 2008 kama wewe.
2003 ilikuwa too much to ask labda ulikuwa na miaka 8 na hujajua mpira.
Mbona hujarudi au unatafuta data bado?
.Pukachaka!!!!
Hizo siyo pot ni levels za timu kutokana na ushiriki wa caf champions league
 
Back
Top Bottom