Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
We unaangalia takwim zipi asee mbona unataka ujidanganye wakati we mkubwaSimba ni timu ya watu? Unamaanisha nn? Kwamba Simba ina watu kuliko Yanga itakuwa kujidanganya mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaangalia takwim zipi asee mbona unataka ujidanganye wakati we mkubwaSimba ni timu ya watu? Unamaanisha nn? Kwamba Simba ina watu kuliko Yanga itakuwa kujidanganya mkuu...
Mkuu unateseka. Ingekuwa mimi nisingekumbusha eti tulicheza makundi!!!
Mliweka rekodi ya kufungwa goli 6 bila hata kushinda mechi moja.
Unaweka picha mkicheza na Simba!!Au ile mliyoingia bure na bado mkafungwa na Mazembe?
Vipi umehamia timu gani?Baada ya waya za spika kuchomolewa jumapili?
Hivi Nkana ndio wale au kuna wengine?
Safari ya Mbeya linatembezwa bakuli .Hizo bando unazotumia hapa kuandika ujinga ungetumia hizo pesa kuchangia timu yako.

Wachana uongo Wewe Simba alimaliza wa tatu .Hata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
Watu wanamtolea macho mkia huko wapangwe nae group 1Mkuu unateseka. Ingekuwa mimi nisingekumbusha eti tulicheza makundi!!!
Mliweka rekodi ya kufungwa goli 6 bila hata kushinda mechi moja.
Unaweka picha mkicheza na Simba!!Au ile mliyoingia bure na bado mkafungwa na Mazembe?
Vipi umehamia timu gani?Baada ya waya za spika kuchomolewa jumapili?
Hivi Nkana ndio wale au kuna wengine?
Safari ya Mbeya linatembezwa bakuli .Hizo bando unazotumia hapa kuandika ujinga ungetumia hizo pesa kuchangia timu yako.
Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapoWachana uongo Wewe Simba alimaliza wa tatu .
Weka makundi ya 2003 na 1998.Tuone nani anasema uongo.
Vyura mmekua kama wale Malaya was buguruni kila mwanaume anaekuja mnamtaka saivi mshaachana na nkanaWatu wanamtolea macho mkia huko wapangwe nae group 1View attachment 977273
1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.Wachana uongo Wewe Simba alimaliza wa tatu .
Weka makundi ya 2003 na 1998.Tuone nani anasema uongo.
Mkuu sisi sio vyura. Tuanzie away Enyimba alitufunga 3-0 tarehe 10-8-2003.Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
Mkuu sisi sio vyura. Tuanzie away Enyimba alitufunga 3-0 tarehe 10-8-2003.
Mechi ya marudiano tarehe 5-10-2003
Tuliwafunga Enyimba 2-1.
Enyimba pointi 12
Ismaily pointi 11
Simba 7
Asec Mimosa pointi 4
Kundi hili ndio lilitoa Bingwa Enyimba.
Simba iliwatoa defending champions Zamalek ndio ikaingia makundi.
Mlishacheza fainali ya CAF?Mlishaingia nusu fainali Klabu Bingwa Afrika?Mbali ni mfumo mpya tu mengine yaleyale tu
Ni Wagumu kuelewa mkuu1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.
Hizo siyo pot ni levels za timu kutokana na ushiriki wa caf champions leagueSasa nakuwekea pot za draw ya Ijumaa.Tarehe 28/12/2018
Pot 1
TP Mazembe -DR Congo
Al ahly-Egypt
Waydad Casablanca-Morocco
Esperance -Tunisia
Pot 2
Mamelodi Sundowns-South Africa
As Vita -DR Congo
Horoya-Guinea Conakry
Club Africain-Tunisia
Pot3
Asec Mimosa -Ivory Coast
Orlando Pirates-South Africa
Simba-Tanzania
CS Constantine-Algeria
Pot 4
Ismaily-Egypt
Lobi Stars-Nigeria
FC Platinum -Zimbabwe
Ja Soura-Algeria
Nipo jikoni sijaanza kupenda mpira enzi za 2008 kama wewe.
2003 ilikuwa too much to ask labda ulikuwa na miaka 8 na hujajua mpira.
Mbona hujarudi au unatafuta data bado?
.Pukachaka!!!!