Final Simba sc ilifika mwaka 1993 kwenye league ya shirikisho,hivyo yanga ndio anafuata nyayo za Simba sc kwenye kila kitu..popote mlipo Simba kashapita akiwa wa kwanza miaka 30 iliyopita kabla hamjajua kupengq kamasi.
Superleague Simba ndio ya kwanza kucheza ..na club bingwa ndio kachafua sana huko tokea nchi ipate uhuru..kumbuka nyie mmejitafuta kucheza hatua ya akundi club bingwa juzi baadaa kujitafuta k2a miaka 30,
Pia Simba sc imrshafika nusu final club bingwa mwaka 1974...yanga mpaka afika nusu final club bingwa Simba itakuwa imechukua kombe la club bingwa mara tano.
Ngoja niweke sawa hili kama ifuatavyo maana washabiki wa yanga ni manyumbu au ni sawa na kondoo ambao wakwanza ukimuwekea kamba akaruka kisha ukatoa hiyo kamba wengine wanaokuja wanaruka hata kama umeshatoa hiyo kamba..ipo hivi hiyo league Simba sc iliyocheza ikafika final mwaka 1993 ni kombe la shirikisho ila ilikuwa na jina tofauti na sasa ila league na kombe ndio shirikisho kama inavyojulikana sasa,ni kama ligi kuu yatanzania mara ilikuwa inaitwa Vodacom n.k sasa hivi ni NBC...
Pia Rais wetu mama Samia aliwathibitishia..sasa wewe ni nani mpaka ubishane na nchi na imeshathibitisha