BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
1) Fumua timu yote. Wakubaki hawazidi 8 nao wapigwe mkwara. Mfano inonga anazidisha mbwembwe kwenye wakati usio muafaka.
2) Fumua benchi lote la ufundi. Hakuna kocha hapo. Kocha anashindwa kusoma mchezo na wechezaji.
3) Simba waache nyimbo za kujipanga kila msimu. Wao Kila msimu ukikaribia kuisha utaskia viongozi wanasema "haya yameisha tutajipanga msimu ujao".
4) Viongozi waliopo hapo Simba hawana uchungu na timu. Hata wakipoteza wao hawajali maana Kila mwezi wanalipwa.
5) Wapenzi na mashaabiki wa Simba acheni uzwazwa wa kumkumbatia mtu hata km siku hiyo hana mchezo mzuri. Mfano, kocha analazimika kumtumia Triple C (Chama) dakika zote kwa sababu ya makelele ya mashaabiki. Kitendo Cha kuona mchezaji fulani ni mfalume haya ndiyo madhara yaje. Chama amekuwa km mfalume ktk timu ndiyo maana mnaangukia pua Kila siku. Acheni kuingilia makocha.
NB
Kwa hiki kinachotokea kwa Simba kinafifisha nyota ya Simba kung'aa kimataifa .
Mashaabiki wanapitia wakati mgumu sn. Wanatakiwa kufanya maamuzi mazito. Mfano, kulikuwa na sababu gani kupumzisha wachezaji mechi na Namungo na hatimae ku draw na leo wamecheza chini ya kiwango na kupoteza.