Simba km mnataka kufika mbali msimu ujao faya hivi.

Simba km mnataka kufika mbali msimu ujao faya hivi.

Kocha hana Uhuru.

Mgunda anamhujumu

Mgunda aondolewe, Kocha atafutiwe msaidizi mwingine

Apewe fungu asajili na kuondoa wengine
 
Best players wake ni Kibu, Saido na Nyoni.

Hakika Robertinho si Kocha sahihi kwa Simba.
 
Kikubwa msimu huu hatujatoka kapa
AddText_05-07-05.55.40.jpg
 
Back
Top Bottom