Simba kuachana na Okrah Magic

Simba kuachana na Okrah Magic

Wachezaji wanaotakiwa kubaki simba ni hawa hapa.

Manula
Ally salim
Inonga
Kapombe
Zimbwe
Kanoute
Chama
Mzamiru
Baleke
Kibu (huyu kwa sabau fulanii Fulani)

Waliobaki wenginee wotee waoneshwe gate LA kutokea, hawana hadhi ya kuwepoo palee wafurushweee.
Ongezea Phiri na Kennedy.

Wengine wote wafurushwe.. hata tuanze upya.
 
Back
Top Bottom