Simba kucheza fainali mashindano ya CAF champions league

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Habari wakuu nimerejea jukwaani kwa mara nyingine tena nikiwa naitabiria Simba kucheza mechi ya fainali ya klabu bingwa Africa ndani ya msimu huu. Hapa nikimaanisha Simba itafuzu mechi yake ya hatua ya robo fainali nakutinga nusu fainali ambapo napo atafanikiwa kufuzu kwenda hatua ya fainali.
 
Sio utabiri, ni uwezekano Utabiri huwa ni nzuri zaidi ukitolewa kabla ya Jambo kuanza (mfano ungetabiri kabla ya Simba kufika hata hatua ya makundi).

Hapa una/lichofanya ni kuangalia trends za Simba katika mashindano hayo.
 
Nakuruhusu anza kupitia nyuzi zangu nyuma kwanzia game ya kwanza dhidi ya Plateau United
 
Ungefukua hilo kaburi na ukaandika hiki ulichoandika huko.
Basi mkuu tusibishane amini unavyoamini wewe. Tufanye nimeangalia trends ya ushindi kama usemavyo wewe.
 
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Screenshot_20210206-231314.jpg
View attachment 1742354
 
Hapana.

Tarehe 30 April Itachezeshwa droo ya QF & ya SF itakua siku hiyo hiyo.

Simba atakutana na mshindi wa puli wa kundi B, C au D!

Na Simba ataanzia Ugenini ktk mkondo wa kwanza wa QF.
Upo sahihi kabisa, msimu wa 2018/2019 wakati Simba akiwa group D akipangwa na Tp Mazembe ambao ndio aliyekuwa ni kinara wa grup C, timu ya Al Ahly ambao ni kinara wa group la Simba akaenda kuvaana na Mamelodi ambao ni washindi wa pili wa group A
 
Habari wakuu nimerejea jukwaani kwa mara nyingine tena nikiwa naitabiria Simba kucheza mechi ya fainali ya klabu bingwa Africa ndani ya msimu huu. Hapa nikimaanisha Simba itafuzu mechi yake ya hatua ya robo fainali nakutinga nusu fainali ambapo napo atafanikiwa kufuzu kwenda hatua ya fainali.
Simba ni nzuri kwa hatua iliyofikia ila huko kwingine kwa akina Esperance de tunis,Mamelodi sundown na Wydad shughuli si nyepesi.hata wenye timu malengo si huko bali ikitokea inawwzekana.kwenye mlira lolote lawezekana,ni mwendawazimu tu angeweza kufikiri West ham anveshida 2 -5 jana dhidi ya Chelsea hivyo hata kwa Simba inaweza kutokea japo chance ni ndogo sana matumaini no kuwa tuna kocha mzuri sana,pungufu lake ni kumtegemea Mugalu kama striker wa kumpa ushindi,hilo tu basi.
 
Back
Top Bottom