Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Habari wakuu nimerejea jukwaani kwa mara nyingine tena nikiwa naitabiria Simba kucheza mechi ya fainali ya klabu bingwa Africa ndani ya msimu huu. Hapa nikimaanisha Simba itafuzu mechi yake ya hatua ya robo fainali nakutinga nusu fainali ambapo napo atafanikiwa kufuzu kwenda hatua ya fainali.