Simba kucheza mechi tatu za kirafiki Misri

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri

Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu

Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni

Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba

Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
 
Simba itacheza na under 20 ya Ismailia, na wenyewe Ismailia wamesha thibitisha kwakua timu Yao Sinior itakua inacheza ligi mbaka 29/08/2022.
 
Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri

Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu

Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni

Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba

Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo
Sema machampion wa mapinduzi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Eti machampioni wa kandanda nchini!! Halafu na Yanga wataitwa nani sasa!

Sema "timu ya simba iliyoko huko Misri kwenye maandalizi ya msimu mpya, inatarajia kucheza mechi 3 za kirafiki na timu za U-20 na wachezaji majeruhi wa....!"

Machampioni wa Tanzania kwa sasa ni Yanga! Hivyo usituchanganyie madesa bhana.
 
Pantoni linawaacha fanyeni chap tukutane Avic kigamboni
 
Utani ni mtamu sana.
 
Unaposema machampioni wa kandanda nchini uwe unafafanua ni mabingwa kwenye mashindano yepi, maana tuna mashindano mengi.
 
Eti machampioni wa kandanda nchini!! Halafu na Yanga wataitwa nani sasa!

Sema "timu ya simba iliyoko huko Misri kwenye maandalizi ya msimu mpya, inatarajia kucheza mechi 3 za kirafiki na timu za U-20 na wachezaji majeruhi wa....!"

Machampioni wa Tanzania kwa sasa ni Yanga! Hivyo usituchanganyie madesa bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mateso unayopitia, unahitajika ulinzi kwako, tutakukosa bureeee.

Ndo kwanzaaa kidonda kibichi hakijaanza hata kuvutaa, woiiiiiiiih

Byuti byuti
 
Unaposema machampioni wa kandanda nchini uwe unafafanua ni mabingwa kwenye mashindano yepi, maana tuna mashindano mengi.
Nimeshasema hapo kombe la NBC tumelikosa mwaka huu tu,. Tumefika robo fainali CAF shirikisho pia n tupo nafasi nzuri kwenye rank za CAF...vepe nyie?
 
Back
Top Bottom