MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri
Akizungumza na vyombo vya habari msemaji wa mabingwa hao waliofika robo fanali ya CAF mara kadhaa mfululizo kwamba simba itakwaana na miamba ya soia kutoka misri Ismailia ambayo simba inafanyia mazoezi katika miundombinu yake ya kisasa pamoja na timu ya vijana ya under 20 ya taifa hilo vingunge wa soka la ushindani barani humu
Aidha kwa timu ya tatu ambayo itachuana na ma giant hawa kutokea kwenye mtaa wenye pilikapilika nyingi wa msmbazi bado ipo kwenye mazungumzo na uongozi wa simba na kwamba umma utafahamishwa hivi karibuni
Ahmed aliwataja Patrick phiri (mfungaji wa bao siku ya UTO day) na Lwanga Tadeo kuwasili leo nchini misri kujiunga na kikosi cha simba
Nawashauri mashabiki wenzangu wa mabingwa hawa wa mara nne zilizofuatanafuatana wa ligi kuu ya tanzania kuisapoti timu yetu na kuwapuuza kabisa UTO boys ambao baada ya kushindwa gharama za uturuki wameamua kukwea pantoni kwenda kigamboni huku wakijiandaa kufanya mechi ya kujipima na TOROLI COMBINE ya keko pamja na NGOMA NAGWA UNITED ya manzese mapema wiki ijayo