Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36
Screenshot_20230110-191538.jpg
 
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Sawa lakini ni level tofauti... Afu pia unaweza kua unaongoza darasani ukajisifu unajua kumbe unawaongoza vilaza tuuupu mfano Zalan FC, usiibeze hiyo Timu kwakua na matokeo mabovu
 
Sawa lakini ni level tofauti... Afu pia unaweza kua unaongoza darasani ukajisifu unajua kumbe unawaongoza vilaza tuuupu mfano Zalan FC, usiibeze hiyo Timu kwakua na matokeo mabovu
Mkuu wewe jambo lolote linalohusiana na Simba huwa unasapoti tu bila kuangalia mantiki?
 
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Ihefu ilikuwa inapumulia mashine, ila...iliweza kuipiga timu inayo ongoza league.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona nyie mlicheza na mbuni??mechi ya kirafiki sio lazima ucheze na bingwa achneni ushamba jamani khaa
 
Kupambana na chui hata kama amevunjika mguu sio sawa na kupambana na mbuzi.

Dubai Kuna wachezaji wengi wenye uwezo hata kama timu ipo mkiani.
 
Back
Top Bottom