Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Ndio maana wameamua kuchagua timu mbovu ili waifunge waje kuringishia kwa Uto lakini wapi.
Wamepakatwa bana.
 
Utopole mnavyoufuatilia Simba utafikiri hamuna taarifa ya manara kutafuniwa mkewe.
Manara siyo taasisi, na taarifa za kutafuniwa mkewe ni maisha yake binafsi, halafu ukute si kweli pengine ni Drama tu
 
Back
Top Bottom