Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

Kwani Yanga iliyokuwa inaongoza ligi si ilifungwa goli mbili na Ihefu iliyokuwa inashika mkia..cha ajabu nini?!
 
Sawa lakini ni level tofauti... Afu pia unaweza kua unaongoza darasani ukajisifu unajua kumbe unawaongoza vilaza tuuupu mfano Zalan FC, usiibeze hiyo Timu kwakua na matokeo mabovu
Zalan alifungwa na Yanga, na Simba nao walifungwa na Yanga...!! By the law of proportionality, Zalan ni sawa na Simba
 
Mashabiki wa yanga jifunzeni kufata mambo yenu. Simba wako dubai nyie mko jangwani ndo mpangilio wa maisha. Simba masikini wako dubai kwenye mazoezi matajiri yanga wako kigamboni thats life.
Na nyinyi muache sasa kufuatilia mambo ya Yanga.
 
Mashabiki wa yanga jifunzeni kufata mambo yenu. Simba wako dubai nyie mko jangwani ndo mpangilio wa maisha. Simba masikini wako dubai kwenye mazoezi matajiri yanga wako kigamboni thats life.
Tena wamemtorosha na mke wa Manara
 
Bora manara ameachwa kidogo katulia na kuisema simba maana ingekuwa kashatoa neno simba kwa safari ya Dubai.
 
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Huu ni uchochezi🤣🤣🤣🤣
kulikuwa na ulazima gani hadi useme itacheza na team inayoburuza mkia???
 
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Utopolo unateseka ukiwa wapi huko? La hiyo mechi sio kutafuta ubingwa wala kupanda nafasi ya msimamo wa ligi, lengo ni kocha mpya kutaka kuwapima wachazaji wake ili kufanya marekebisho muhimu yanayohitajika!
Kocha yeyote Mzuri hawezi kuchagua timu ngumu, atachagua timu ya kawaida ili mchezo uwe na utulive na hapo ndipo anaweza kusoma wachezaji wake vizuri!
Sasa wewe na Utopolo wenzako endeleeni kurusha post za kipumbavu si mnazani mnaidegrade Simba kumbe mnatuongezea credits!
 
Kwaio unazuia Uhuru wetu wankupata taarifa? Mleta mada ameleta taarifa ya uongo? Mbona unamshambulia kwa kuleta taarifa ya ukweli?
 
Kwanini vyombo vya habari vingine vilivyoripot hiyo taarifa havikusema hayo mambo ya kubura mkia? Au ulifikiri walisahau Ama yeye anajua sana kuripot taarifa!???
Hakuna taaluma ya Habari inayoelekeza kuripot mambo katika namna ya kudhalilisha au kutweza utu, Hata uhuru wenyewe wa kupata habari hausemi hivyo!
 
Utopole mnavyoufuatilia Simba utafikiri hamuna taarifa ya manara kutafuniwa mkewe.
 
Ligi ya Urusi inaendelea, ni timu ya vijana ya CSKA ndio itakayocheza na Simba
Nimeona screenshot inayoonyesha friend matches hiyo CSKA mbona imeandikwa inatokea Bulgaria?. Imeandikwa (Bul) na Simba imeandikwa (Tan).
 
Back
Top Bottom