utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Ndio level zao izo mkuu[emoji1][emoji1]Mikia wakishinda watakuwa wamepiga Bomu mochwari
[emoji23][emoji23]
Ligi ya Urusi inaendelea, ni timu ya vijana ya CSKA ndio itakayocheza na SimbaNa CSKA Moscow nayo ni timu mbovu kuliko ht utopolo. Kweli watapiga bomu mochwari
Warusi si wamefungiwa kujihusisha na mambo ya michezo hawa?Ligi ya Urusi inaendelea, ni timu ya vijana ya CSKA ndio itakayocheza na Simba
BumbafuWarusi si wamefungiwa kujihusisha na mambo ya michezo hawa?
Sawa lakini ni level tofauti... Afu pia unaweza kua unaongoza darasani ukajisifu unajua kumbe unawaongoza vilaza tuuupu mfano Zalan FC, usiibeze hiyo Timu kwakua na matokeo mabovuSimba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mkuu amepitiwa huyuBumbafu
Mkuu wewe jambo lolote linalohusiana na Simba huwa unasapoti tu bila kuangalia mantiki?Sawa lakini ni level tofauti... Afu pia unaweza kua unaongoza darasani ukajisifu unajua kumbe unawaongoza vilaza tuuupu mfano Zalan FC, usiibeze hiyo Timu kwakua na matokeo mabovu
Wewe mwenyewe mfungua uzi umeuweka kishabiki pia unauchangia kishabiki sana...Mkuu wewe jambo lolote linalohusiana na Simba huwa unasapoti tu bila kuangalia mantiki?
Ihefu ilikuwa inapumulia mashine, ila...iliweza kuipiga timu inayo ongoza league.Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote zaidi ya kutoka sare Michezo minne kati ya Michezo 12 iliyocheza paka hivi sasa huku ikiwa imefungwa jumla ya magoli 36View attachment 2476606
Kwaio kipimo chenu ni ihefuIhefu ilikuwa inapumulia mashine, ila...iliweza kuipiga timu inayo ongoza league.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Usisahau ihefu ya tanzania ilikutoa bikra kwenye mashamba ya mpunga kwa bao 2 tuWanacheza na ihefu ya Dubai, hovyo kbs.
Kwaio ihefu ndio mtetezi wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]?Usisahau ihefu ya tanzania ilikutoa bikra kwenye mashamba ya mpunga kwa bao 2 tu