Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.

Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.

Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz

Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
 
we unashangaa hiyo hao viazi walijisifu kufungwa na yanga goli moja ngao ya jamii...hao ndo makolo buana
 
Yanga wengi Mpira wamejifunzia ukubwani. Yaani Simba wajisifu kufungwa Kwa lipi hasa?
haijalishi umejifunzia mpira mda gani ila yanga ni darasa kwa simba burudani machoni mwa mashabiki wao na ni kero kwa mashabiki wa makolo fc katika kipindi hiki,naona kabisa yanga ni wanyonge kumfunga simba goli 1-0,CBE 1-0 yani sio matokeo yanayoendana na wao kabisa
 
Simba kwa Cecafa ndio nambari moja,kwa Caf nambari 4,kuwabana mbavu wale waarabu kwao full house sio kitu cha kubeza,wanastahili pongezi
Hilo linaonekana ni la ajabu tena mmepata sare, Yanga walicheza na waarabu wa kule Algeria tena full house huko kwao na wakachapwa goli moja.
Sijui kama Simba iliwahi kumfunga mwarabu wa kutoka Kaskazini goli 4 ila Yanga imefanya hilo dhidi ya Belouizdad
 
Kwani ni uongo? Nyie mlicheza na ndanda ya Ethiopia ila majigambo mengi utafiri mmecheza na timu kuuuubwaa!
 
Huyo beruzidad kule kwao alikuchapa ngapi?
 
Hii Simba ndiyo imefanya Tanzania tuwe na timu mbili mbili kwenye mashindano ya CAF.
Haha mnakua kama ndugu lawana , akikupatia kazi kwa muhindi atakuja kuhadithia hadi wajukuu zako baba yenu nilimtafutia kazi.............kila mtu apambane na msalaba wake....mlifanya tuwe na timu 2 ila hatukuwaomba hizo ni shobo zenu tu
 
Simba i
Simba imewahi kumng'oa bingwa wa Caf Champions league nyumbani kwake achana na nyie kushinda kigoli kimoja na bado hakikuwasaidia halafu hao mliowachapa nne nyumbani si kwao nao waliwatandika kwao 3 mtungi bwana Changaule!!?
 
Simba i

Simba imewahi kumng'oa bingwa wa Caf Champions league nyumbani kwake achana na nyie kushinda kigoli kimoja na bado hakikuwasaidia halafu hao mliowachapa nne nyumbani si kwao nao waliwatandika kwao 3 mtungi bwana Changaule!!?
Mwisho wa siku wote tumefika robo fainali...na hio mnayosema loser sie tulifika hadi fainali.....sie tunakata tuone huko kwa ma loser mkifika fainali
 
Kipindi cha kutest mitambo mgeni anakaribishwa.....ila nyie ndugu zetu si ndo wakongwe tena hakohako kakombe mlikosema cha ma loser leo ma loser wanawatoa kamasi
Aliyesema loser ni manara tena akiwa yanga hukohuko
 
Aliyesema loser ni manara tena akiwa yanga hukohuko
Kombe la ma loser ndo mfike fainali mtajuana kama alisema manara au manyara kikubwa nanyi mlikubaliana nae kwamba hilo ni kombe la ma loser ila tunashangaa mapema kabisa mkia anatolewa kamasi jepesi na super loser
 
Mbona nyie mwarabu aliwapiga kwa mkapa mkiwa full house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…