Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.

Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.

Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz

Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
Ulitaka Waone nini
 
Simba bingwa na Kocha Fadlu Davis bonge la kocha,Mbinu za kimedani mchezoni anazo.Ukikataa sikulazimishi
 
Screenshot_2024-09-16-13-14-49-881_com.instagram.android~2-1.jpg
 
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.

Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.

Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz

Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
Rage alimaliza.
 
Kombe la ma loser ndo mfike fainali mtajuana kama alisema manara au manyara kikubwa nanyi mlikubaliana nae kwamba hilo ni kombe la ma loser ila tunashangaa mapema kabisa mkia anatolewa kamasi jepesi na super loser
Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .

Kwasasa hicho kitu hakipo.
 
Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .

Kwasasa hicho kitu hakipo.
Kwahiyo saivi wanacheza mabingwa tupu?
 
Rage alimaliza.
Kama alivyomaliza mzee Magoma kwamba Yanga ni mazezeta?

Kama alivyomaliza Luc Eymael kwamba Yanga ni kama manyani ni kubweka tu kila kitu?

Kama alivyomaliza Manara kwamba Yanga wenye akili ni wawili tu?

Kama alivyomaliza Hers kwamba Mashabiki wa Yanga wote ni wala mihogo tu?

Kama alivyomaliza Manara kwamba Yanga mnanuka vinyesi na mnatembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu?
 
Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .

Kwasasa hicho kitu hakipo.
Mnajipigania kweli kweli. Ukweli unabaki ni kuwa kombe la Losers.
 
Simba kwa Cecafa ndio nambari moja,kwa Caf nambari 4,kuwabana mbavu wale waarabu kwao full house sio kitu cha kubeza,wanastahili pongezi
Caf nambari nne wameitoa wapi??
Nambari 7 sii nne.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Huyo beruzidad kule kwao alikuchapa ngapi?
Tatu bila na nne bila zinafanana!??
Nani amefungwa magoli mengi zaidi??
Mbona 2021 tulicheza na Club Africain kwao full house tukamfunga 1-0??
Second leg final tulicheza na timu ya Benchika kwao wakiwa full house tukawafunga 1-0.
Tena walikua wanaombea hadi mpira uishe wake USM alger.
 
Umeanza kushabikia mpira juzi,Simba ameshazifunga sana timu za kiarabu kuliko timu yoyote nchini,si ajabu kumfunga nwarabu ila sio kitu cha kubeza,waarabu wanafitna sana ndani nanje ya uwanja,na wamewekeza sana,huyo mambululu aba thanani ya bilioni 4 sijui,
Hapa Benjamin Mkapa sikatai mmenfunga sana mwarabu.
Nitajie mwaka gani simba kamfunga mwarabu akiwa kwake uarabuni ndani ya dakika 90!??
 
Kwani huko CAFCL wanacheza mabingwa tu? Azam alikuwa bingwa wa nchi gani?
Ndio wanacheza mabingwa tupu, ila nchi ikiwa kwenye top 12 kwenye rank unapewa bonus ya nafasi nyingine moja kama favour.
 
Back
Top Bottom