Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Kombe la ma loser ndo mfike fainali mtajuana kama alisema manara au manyara kikubwa mikubwa nanyi mlikubaliana nae kwamba hilo ni kombe la ma loser ila tunashangaa mapema kabisa mkia anatolewa kamasi jepesi na super loser
Baki na timu yako UTO PRO MAX, mambo ya Simba hayakuhusu
 
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.

Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.

Yaani sifa za kijanga na kishamba sana
Sawa..Utopolo nao wanaona sifa kucheza kama wako mazoezini kule Ethiopia
 
Hata Yanga ilipokuwa inatembelea magoti jambo dogo tu mashabiki, wanahabari na viongozi walikuwa wanalibeba na kujivunia
 
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.

Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.

Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz

Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
Kwani wewe hujui simba ni kubwa kuliko Yanga..By the way katika hatua ya mtoano kinachotafutwa ni kusonga mbele sio point...
 
Simba kwa Cecafa ndio nambari moja,kwa Caf nambari 4,kuwabana mbavu wale waarabu kwao full house sio kitu cha kubeza,wanastahili pongezi
Eti kuwabana mbavu waarabu🤣🚮Yani iyo timu mlizocheza nayo aina tofauti na Namungo ya Tanzania lakini kwakuwa wamekutana na timu yenu mbovu mkapaki basi la wachezaji 8 kwenye goli lenu msifungwe, no short on target ata Moja🤣🤣
 
Aliyesema loser ni manara tena akiwa yanga hukohuko
Hawa vyura wageni wageni tena WA maporini. Hawajui kwamba Manara baada ya kuhamia Yanga kutoka Simba aliwaponda Simba kuwa wanashiriki Loser Cup MUNGU si athumani wakatolewa mapema na Al Hilal ya Sudan wakashushwa Shirikisho ndio ikaanza ' Return to sender'.
 
Simba i

Simba imewahi kumng'oa bingwa wa Caf Champions league nyumbani kwake achana na nyie kushinda kigoli kimoja na bado hakikuwasaidia halafu hao mliowachapa nne nyumbani si kwao nao waliwatandika kwao 3 mtungi bwana Changaule!!?
Kwahiyo aliyeshinda 3 na aliyeshinda 4 nani alifunga hesabu za kufuzu robo fainali? Au hukujua kama ile mechi ndio ilifunga hesabu ya h2h? Ile mechi ndio iliyomtoa Belouizdad na kuishia hatua ya makundi.
 
Simba kwa Cecafa ndio nambari moja,kwa Caf nambari 4,kuwabana mbavu wale waarabu kwao full house sio kitu cha kubeza,wanastahili pongezi
Wew unazungumzia kumbana mbavu mwenzio yanga alishampa kichapo benchika na timu yake yenye mashabiki full house pale algeria na ndipo mlipoanza kumjua benchika 😂😂😂
 
haijalishi umejifunzia mpira mda gani ila yanga ni darasa kwa simba burudani machoni mwa mashabiki wao na ni kero kwa mashabiki wa makolo fc katika kipindi hiki,naona kabisa yanga ni wanyonge kumfunga simba goli 1-0,CBE 1-0 yani sio matokeo yanayoendana na wao kabisa
Kwanini sasa mnalalama sisi kukatwa point 6 ishu ya kagoma ..tunachojua wenye akili ni wawili huko kwenu maana haiwezekani mkaanza kuonyesha mikataba ya wachezaji kwenye vyombo vya habari
 
Eti kuwabana mbavu waarabu🤣🚮Yani iyo timu mlizocheza nayo aina tofauti na Namungo ya Tanzania lakini kwakuwa wamekutana na timu yenu mbovu mkapaki basi la wachezaji 8 kwenye goli lenu msifungwe, no short on target ata Moja🤣🤣
short on target ndio nn
 
Simba i

Simba imewahi kumng'oa bingwa wa Caf Champions league nyumbani kwake achana na nyie kushinda kigoli kimoja na bado hakikuwasaidia halafu hao mliowachapa nne nyumbani si kwao nao waliwatandika kwao 3 mtungi bwana Changaule!!?
Mlivyomng'oa mkaishia wapi?
 
Wew unazungumzia kumbana mbavu mwenzio yanga alishampa kichapo benchika na timu yake yenye mashabiki full house pale algeria na ndipo mlipoanza kumjua benchika 😂😂😂
Umeanza kushabikia mpira juzi,Simba ameshazifunga sana timu za kiarabu kuliko timu yoyote nchini,si ajabu kumfunga nwarabu ila sio kitu cha kubeza,waarabu wanafitna sana ndani nanje ya uwanja,na wamewekeza sana,huyo mambululu aba thanani ya bilioni 4 sijui,
 
Back
Top Bottom