Ulitaka Waone niniYaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.
Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.
Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz
Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
Rage alimaliza.Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana.
Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga.
Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na Benz
Yaani sifa za kijinga na kishamba sana.
Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .Kombe la ma loser ndo mfike fainali mtajuana kama alisema manara au manyara kikubwa nanyi mlikubaliana nae kwamba hilo ni kombe la ma loser ila tunashangaa mapema kabisa mkia anatolewa kamasi jepesi na super loser
Kwahiyo saivi wanacheza mabingwa tupu?Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .
Kwasasa hicho kitu hakipo.
Kama alivyomaliza mzee Magoma kwamba Yanga ni mazezeta?Rage alimaliza.
Kwani huko CAFCL wanacheza mabingwa tu? Azam alikuwa bingwa wa nchi gani?Kwahiyo saivi wanacheza mabingwa tupu?
Mnajipigania kweli kweli. Ukweli unabaki ni kuwa kombe la Losers.Kipindi hicho linaitwa kombe la losers ni kwamba kuna timu zilikuwa zikichapwa CAFCL kama uto alivyochapwa na Al hilal zilikuwa zinarudi cafcc kama losers waliotoka CAFCL .
Kwasasa hicho kitu hakipo.
nyie sio kukatwa point 6 tu hata kukatwa kichwa sawa tuKwanini sasa mnalalama sisi kukatwa point 6 ishu ya kagoma ..tunachojua wenye akili ni wawili huko kwenu maana haiwezekani mkaanza kuonyesha mikataba ya wachezaji kwenye vyombo vya habari
Caf nambari nne wameitoa wapi??Simba kwa Cecafa ndio nambari moja,kwa Caf nambari 4,kuwabana mbavu wale waarabu kwao full house sio kitu cha kubeza,wanastahili pongezi
Tatu bila na nne bila zinafanana!??Huyo beruzidad kule kwao alikuchapa ngapi?
Hapa Benjamin Mkapa sikatai mmenfunga sana mwarabu.Umeanza kushabikia mpira juzi,Simba ameshazifunga sana timu za kiarabu kuliko timu yoyote nchini,si ajabu kumfunga nwarabu ila sio kitu cha kubeza,waarabu wanafitna sana ndani nanje ya uwanja,na wamewekeza sana,huyo mambululu aba thanani ya bilioni 4 sijui,
Ndio wanacheza mabingwa tupu, ila nchi ikiwa kwenye top 12 kwenye rank unapewa bonus ya nafasi nyingine moja kama favour.Kwani huko CAFCL wanacheza mabingwa tu? Azam alikuwa bingwa wa nchi gani?