Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.

KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane kamili usiku.

Mechi zingine ambazo zitachezwa mda huo ni Esperance [emoji1249] vs CR Belouzidad na Wydad vs JS Kabylie.

Athari Kwa Simba
_Kikosi chetu kina wazee wengi Kwa muda huo binafsi naona muarabu kashafanya calculations ili achukue point zote

Kusinzia uwanjani

Kutokana na uzee wa wachezaji wetu ...sitoshangaa wakianza kusinzia uwanjani

NB: mwarabu Hana huruma...hatuachii hata hizi point za mwisho???

#TotalEnergayChampionsLeague
 
Hadi nimecheka kwa sauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…