Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

Ratiba ya CAF interclub championship ikiwa inaenda kutamatika kwa kumalizia michezo ya raundi ya sita katika group stage wikiend hii. Kwa upande wa champions league, Simba itacheza na Raja Casablanca lakini mchezo huo utachezwa saa saba ya usiku kwa saa za Africa Mashariki.
Hivyo watakaotaka kushuhudia huu mchezo wanapaswa kuushinda usingizi, na changamoto zingine ili waweze kutaza game ya usiku wa manane
Ndio maana tunaitwa MBUMBUMBU.
Eti usiku wa manane, Mbumbumbu kweli.

Unapotosha kwa heading yako.

IMG-20230326-WA0016.jpg


Afadhali ungeongezea na maneno KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI.

IMG-20230326-WA0014.jpg

Mechi ni saa nne uisku kwa saa za Morocco ambao ni muda wa kawaida jwa mechi za mpira wa miguu.
 
Jamaa hata wacheze saa mbili asubuhi kipigo cha kuanzia hamsa kiko palepale
 
Back
Top Bottom