HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Tarehe 26 Simba na AzamBaada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 26 Simba na AzamBaada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi.
Kama Simba itacheza na Azam game ya FA basi Ratiba iko sawa.Tarehe 26 Simba na Azam
Jana walikuwa wanajifungisha [emoji23][emoji23][emoji23] sijui ikawajeYanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu