Simba kuchukua ubingwa mbele ya Yanga Julai 3?!

Simba kuchukua ubingwa mbele ya Yanga Julai 3?!

Yanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu
Jana walikuwa wanajifungisha [emoji23][emoji23][emoji23] sijui ikawaje
 
Raha ya tareh unamfunga utopolo afu unatangazwa ubingwa, ili utopolo siku hiyo wawe na majonzi ya kufungwa na kukosa ubingwa mbele ya mnyama mkali
 
Back
Top Bottom