HPAUL JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 410 Reaction score 567 Jun 20, 2021 #21 GEMBESON said: Baada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi. Click to expand... Tarehe 26 Simba na Azam
GEMBESON said: Baada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi. Click to expand... Tarehe 26 Simba na Azam
GEMBESON JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 1,463 Reaction score 3,193 Jun 20, 2021 #22 PAULN said: Tarehe 26 Simba na Azam Click to expand... Kama Simba itacheza na Azam game ya FA basi Ratiba iko sawa.
PAULN said: Tarehe 26 Simba na Azam Click to expand... Kama Simba itacheza na Azam game ya FA basi Ratiba iko sawa.
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Jun 21, 2021 Thread starter #23 Narubongo said: Yanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu Click to expand... Jana walikuwa wanajifungisha [emoji23][emoji23][emoji23] sijui ikawaje
Narubongo said: Yanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu Click to expand... Jana walikuwa wanajifungisha [emoji23][emoji23][emoji23] sijui ikawaje
P Payrol JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2,286 Reaction score 3,082 Jun 21, 2021 #24 Raha ya tareh unamfunga utopolo afu unatangazwa ubingwa, ili utopolo siku hiyo wawe na majonzi ya kufungwa na kukosa ubingwa mbele ya mnyama mkali
Raha ya tareh unamfunga utopolo afu unatangazwa ubingwa, ili utopolo siku hiyo wawe na majonzi ya kufungwa na kukosa ubingwa mbele ya mnyama mkali