Simba kudondosha points mechi zote 3 zijazo

Simba alicheza fainali ya CAFCC mwaka 1993 na Mama Samia aliwakumbusha hilo siku mmeenda kujipendekeza Ikulu. Na kabla hamjafika fainali hiyo nyie hivi karibuni, mlikuwa hamjawahi kudhihaki fainali aliyocheza Simba.
 
Huyo bingwa wa confederation cup 92/93 Stella club d'adjame alicheza na nani? Cheza na washamba wenzako tulikuwa taifa 93 sio wewe wa kijijini vitoto vya 2000

Mzee unazungumza na mimi mbona sikumbuki kama nilikua nafanya majibizano yeyote na wewe?
 
Sawa mtaalamu
 
Sio Babu yangu alinidanganya nilikuwepo uwanja wa uhuru Mimi sio wewe umezaliwa Kijiji mpira wa miguu umeukuta mjini
Tuambie sasa ilo kombe ulilocheza fainali lilikuwa ni kombe Gani?
 
Kwaiyo na wewe unaungana na mbumbumbu mwenzako kwamba mlicheza fainali ya shirikisho mwaka 1993?
 
Huyo bingwa wa confederation cup 92/93 Stella club d'adjame alicheza na nani? Cheza na washamba wenzako tulikuwa taifa 93 sio wewe wa kijijini vitoto vya 2000
Ndo utuambie baada ya Stella abdijan kuwa bingwa wa iyo caf cup kwanini akwenda kucheza Africa super cup kama michuano iyo ilikuwa na umuhimu,,kwanini mshindi wa champions cup Aly ahly alienda kucheza na aliyekuwa mshindi wa kombe la washindi kwenye African super cup mwaka 1994?
 
Simba alicheza fainali ya CAFCC mwaka 1993 na Mama Samia aliwakumbusha hilo siku mmeenda kujipendekeza Ikulu. Na kabla hamjafika fainali hiyo nyie hivi karibuni, mlikuwa hamjawahi kudhihaki fainali aliyocheza Simba.
Wewe akuna unachokijua usipiyange kwenye vitu usivyovijua
 
Kwaiyo na wewe unaungana na mbumbumbu mwenzako kwamba mlicheza fainali ya shirikisho mwaka 1993?
Kama maneno haya yalikupitia ngoja niyarudie....

"Mlipoenda kulishwa wali pale Ikulu halafu mkanyang'anywa mchezaji wenu kipenzi Feisal, Rais Samia aliwazodoa akawaambia nyie siyo wa kwanza nchi hii kufika fainali za kombe la shirikisho CAF."
 
Kwaiyo Rais akisema ndio Yuko sahihi? Usiwe bendera fata upepo nilishaga kwambia uwe na detail kabla ujachangia jambo,,Simba aikucheza kombe la shirikisho,,kombe lillilokuwa la washindi barani Africa ndilo lilikuwa na hadhi ya kombe la shirikisho kwa sasa baada ya kufanyiwa marekebisho,,kombe lillilokuwa linaitwa champions cup ndilo klabu bingwa kwasasa,,kwa maana iyo yanga ndio timu ya kwanza kucheza fainali ya shirikisho barani Africa akuna timu iliwai kucheza fainali iyo period!
 
Unaelekea kubaya. Unampinga kila mtu, hadi umefikia kumpinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpaka Rais anasema vile ujue amejiridhisha na amepewa details hizo na wasaidizi wake. Kwa hiyo wewe una ufahamu kuliko wasaidizi wa Rais wa nchi? Nakuwaje bendera fuata upepo wakati tulikuwa tunawaambia hivyo kabla hata Rais hajatamka maneno hayo?

Wakati website ya African Football League iko hewani, kwenye profile ya Simba waliandika ilifika fainali ya CAF shirikisho. Evidence zote hizo hazikutoshi.

Kuna mambo mengi ya maana ya kudiscuss, siyo unakalia tu hoja zile zile kila siku wakati umeshaeleweshwa. Unaboa.
 
Acha ukilaza na ujinga usio na mipaka bingwa wa confederation Kwa orodha ya cuf 92/93 ni Stella sio zamalek,wenye michuano ndio wameweka record wewe mjinga mmoja kutoka sijui wapi.Kama umesoma walimu wako walipata KAZI kufundisha mjinga mmoja
 
Hawawezi kuelewa hao mbumbumbu wa Rage
 
Kama kolo atacheza kizembe kama alivyocheza na namungo kule Rwangwa juzi, uwezekano wa kufungwa mechi zote 3 ni 100%.
 
Tukisema sisi ni manabii mnatupinga
Simba atadondosha points mechi zote 3

Na.mechi ya trh 8 Yanga atampa kipigo cha mbwa mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…