Simba kudondosha points mechi zote 3 zijazo

Simba kudondosha points mechi zote 3 zijazo

Tunajua unapimwa na rank za kimataifa kwenye kombe la wamama na kiwango chenu uko ni Bora sana bwana mbumbumbu!

tujawahi kuishia makundi hata kombe la wababa kama wale wengine mkuu.
Vyura wanaingia kombe la wanaume wakiwa wamevaa vitenge matokeo yake wanafukuzwa na kutolewa kwenye makundi?
 
Yanga wamuombe kayoko achezeshe tena ili awaokoe vinginevyo kipigo cha mbwa koko mwizi wa nyama kipo palepale.
Kama si kayoko siku ile makolo mngecheza pungufu na mngekula goli zaidi ya 5,mumshukuru sana kayoko
 
Attachments

  • privaldinho_20241021_reel_3483626017370192945_1_3483626017370192945.mp4
    3 MB
Vyura wanaingia kombe la wanaume wakiwa wamevaa vitenge matokeo yake wanafukuzwa na kutolewa kwenye makundi?
Makundi klabu bingwa ni sawa na fainali kombe la kahawa ilo ulilopo,,kwa maana iyo bado unayo kazi ya kufanya kufika pale alipofika yanga!
 
Mtu akila mzigo au asile we utajuaje?
Itakusaidia nini?
Mwache kuongelea maisha binafsi ya Azizi ki, tuongelee na kukosa kazi yake
Madhara yake ndiyo tumeyaona leo. Mnamuozesha katikati ya msimu halafu mnamwambia hamna fungate na anacheza kila mechi dakika 90. Mbona kabla ya harusi mlikuwa mnamfanyia sub? Mmeamua kumtesa mtoto wa watu.
 
Makundi klabu bingwa ni sawa na fainali kombe la kahawa ilo ulilopo,,kwa maana iyo bado unayo kazi ya kufanya kufika pale alipofika yanga!
Na robo Club bingwa? Ukiwa unajibu rejea takwimu za mnyama hapo Club bingwa panapokushinda kuvuka makundi.
 
Na robo Club bingwa? Ukiwa unajibu rejea takwimu za mnyama hapo Club bingwa panapokushinda kuvuka makundi.
Klabu bingwa ulivyofika robo robo ikawaje? Tuonyeshe medali uliyoleta kwa kufika robo?
 
Naskia utopolo kimataifa robo fainali mnacheza na kibangu rangers
 
Madhara yake ndiyo tumeyaona leo. Mnamuozesha katikati ya msimu halafu mnamwambia hamna fungate na anacheza kila mechi dakika 90. Mbona kabla ya harusi mlikuwa mnamfanyia sub? Mmeamua kumtesa mtoto wa watu.
Injiniaaaa, Soma hiyoooo.
Screenshot_20250223-212815_Facebook.jpg
 
Simba ana mechi ngumu zijazo
Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7

24 February
Simba vs Azam
Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze kushika nafasi ya pili na kucheza CAFCL sio UMITASHUMITA shirikisho
Na Azam wana hasira, baada ya Ahmed Ali kuwaita Azam nzi wa choo, wala kinyesi. Hapa Simba na Azam zitagawana alama. Hii mechi ni sare.

1 March
Coast union vs Simba
Hii mechi itakuwa away huko Arusha
Tunajua Simba Huwa anapata Shida mechi za away na Huwa anashinda Kwabeleko Kwa maana ya red card na penalties. Waamzi wakitenda haki hapa ni sare au Simba apoteza, maana atakuwa ametoka kutumia nguvu kubwa kwenye Mzizima derby

8 March
Young Africans vs Simba
Hapa ndo balaa. Yaani Simba wanaoingia kwenye geto la Pdidy hapa lazima Simba wapakwe mafuta. Yanga atashinda goli 5+

Huu mtego Simba wamenasa
Yanga bingwa.

View attachment 3246865
Tuseme inshaallah
 
Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii ni timu ya mpira au kikundi cha wahuni?

Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Alitaka kukupitia?
 
Sasa boss, huko makundini mnapoishia huwa mnapewa medali?
Auna D 2 ndio maana ujanielewa point yangu,,kucheza kwako robo fainali akuna maana yoyote ni sawa na timu iliyoishia makundi tu kwakuwa timu zinapigania kombe ama medali,,kufika robo tu na ukaishia hapo Kila msimu ni kuferi,,yanga wao wamecheza fainali ya ilo kombe ulilopo na wanazo medali za mshindi wa pili kwaiyo aujawafikia hata robo kimafanikio!
 
Watoto wa juzi mnatabu Simba 1993 kafika fainali Hilo kombe uliza baba zako
 
Auna D 2 ndio maana ujanielewa point yangu,,kucheza kwako robo fainali akuna maana yoyote ni sawa na timu iliyoishia makundi tu kwakuwa timu zinapigania kombe ama medali,,kufika robo tu na ukaishia hapo Kila msimu ni kuferi,,yanga wao wamecheza fainali ya ilo kombe ulilopo na wanazo medali za mshindi wa pili kwaiyo aujawafikia hata robo kimafanikio!
D2 ni nini mkuu sijasoma...

Timu inayoishia makundi ipo sawa na inayopita robo? Si ukaangalie hata malipo tu wanayopata uone utofauti.

Ukitaka kujua umuhimu kutokuishia makundi chungulia hata rank za kimataifa za Simba.
 
Kama si kayoko siku ile makolo mngecheza pungufu na mngekula goli zaidi ya 5,mumshukuru sana kayoko
Labda kama wewe ni mgeni kwenye mpira . Simba wamewahi kucheza pungufu mara mbili zote dhidi ya Yanga na Yanga akapigwa. Kwahiyo hapo hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom