Simba kudondosha points mechi zote 3 zijazo

Klabu bingwa ulivyofika robo robo ikawaje? Tuonyeshe medali uliyoleta kwa kufika robo?
Mi nikafikiri unasema kombe. Kumbe unaleta habarI za kuvalishwa heleni! Kama ni hizo heleni simba alizivaa 1993 we ukiwa bado kwenye pumbu za mzazi
 
Kesho Simba 14 - Azam 0. Tunafuta GD yote mnayojidai nayo mliyoiokota kwa matawi yenu, tunaanza upyaa.
 
Mi nikafikiri unasema kombe. Kumbe unaleta habarI za kuvalishwa heleni! Kama ni hizo heleni simba alizivaa 1993 we ukiwa bado kwenye pumbu za mzazi
Leta iyo picha ukivalishwa medali iyo miaka ya zilipendwa tuzione
 
D2 ni nini mkuu sijasoma...

Timu inayoishia makundi ipo sawa na inayopita robo? Si ukaangalie hata malipo tu wanayopata uone utofauti.

Ukitaka kujua umuhimu kutokuishia makundi chungulia hata rank za kimataifa za Simba.
Timu inayopita robo kwenye michuano ipi labda
 
Watoto wa juzi mnatabu Simba 1993 kafika fainali Hilo kombe uliza baba zako
Lilikuwa linaitwaje wakati huo na sasa linaitwaje? Usitake tuendelee kumpa rage maua yake aliyewaita mbumbumbu,,Leo hii Kuna kombe linaloitwa la caf? Tunachojua tokea kombe la shirikisho lianze yanga ndio timu ya kwanza kucheza fainali kutoka Tanzania,,ayo mengine ni kujifariji tu!
 
Lilikuwa linaitwaje wakati huo na sasa linaitwaje? Usitake tuendelee kumpa rage maua yake aliyewaita mbumbumbu,,Leo hii Kuna kombe linaloitwa la caf? Tunachojua tokea kombe la shirikisho lianze yanga ndio timu ya kwanza kucheza fainali kutoka Tanzania,,ayo mengine ni kujifariji
upungufu wa akili unakusumbua kabla ya tff iliitwa fat wakati haujazaliwa kama ulikuwa umezaliwa umezaliwa maporini hakuna unachojua ,kabla ya ligi kuu Tanzania ilikuwa ligi daraja la kwanza,umekuja mjini uKijiji haujakutoka .
 
Wewe ni mbumbute ni Bora ukaufyata fatilia kombe alilocheza Simba mwaka 93 lilikuwa ni kombe Gani tatizo la vilaza kama nyie mmekuwa wajuaji wa kubeba maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa ndo unaleta hapa bendera fata upepo,,fatilia icho kikombe ambacha Simba alicheza cha Caf cup cha mashood abiola kilikuwa ni kikombe Gani kamuulize ata kiuongozi wako mangungu atakupa majibu usiwe kama debe tupu aisee!
 
Wewe ni mjinga mmoja na mahaba tu kuunganishwa Kwa caf cup na winners cup hakufanyi confederation kuwa kombe jipya hakuna kitu unajua hauna exposure masikini mmoja tu,Rudi ulipozaliwa unakimbilia mjini hatulimi lami.
 
Ngoja nikutoe tongo tongo naona unataka kupotosha ujinga unadhani wote ni vilaza anaowaongoza mangungu,,,
Kombe la washindi barani Africa mwaka 1993 ndio lilikuwa na hadhi ya kombe la shirikisho la sasa na sio bonanza la caf cup la mashood abiola ambalo Simba alicheza fainali!
Champions cup ambalo ndio lilikuwa na hadhi ya champions league kwa sasa mwakilishi alikuwa ni pamba ya mwanza alicheza na Aly ahly ya msri na wamisri walibeba kombe!
Baada ya kubeba kombe walikwenda kucheza fainali iliyoitwa Africa super cup 1994 na mshindi wa kombe la washindi barani Africa ambae alikuwa ni zamalek zote za misri!
Sasa tueleze iyo fainali yako ya caf cup unayosema ndio ilikuwa shirikisho Babu yako ndio alikudanganya?
Kama ilikuwa ni fainali yenye umuhimu wowote kwanini amkucheza Africa super cup na wakacheza Aly ahly na zamalek?
Lile lilikuwa bonanza la mwanasiasa mashood abiola alikuwa na tofauti yoyote na mbunge cup!
 
Sio Babu yangu alinidanganya nilikuwepo uwanja wa uhuru Mimi sio wewe umezaliwa Kijiji mpira wa miguu umeukuta mjini
 
Jamaa huyu bila Yanga haishi mshamba mshamba sanaa wa mpira alafu haujui sasa
Huyo bingwa wa confederation cup 92/93 Stella club d'adjame alicheza na nani? Cheza na washamba wenzako tulikuwa taifa 93 sio wewe wa kijijini vitoto vya 2000
 
Attachments

  • IMG_20250223_235201_893.jpg
    IMG_20250223_235201_893.jpg
    678.9 KB · Views: 2
Ngoja nikutoe tongo tongo naona unataka kupotosha ujinga unadhani wote ni vilaza anaowaongoza mangungu,,,
Kombe la washindi barani Africa mwaka 1993 ndio lilikuwa na hadhi ya kombe la shirikisho la sasa na sio bonanza la caf cup la mashood abiola ambalo Simba alicheza fainali!
Champions cup ambalo ndio lilikuwa na hadhi ya champions league kwa sasa mwakilishi alikuwa ni pamba ya mwanza alicheza na Aly ahly ya msri na wamisri walibeba kombe!
Baada ya kubeba kombe walikwenda kucheza fainali iliyoitwa Africa super cup 1994 na mshindi wa kombe la washindi barani Africa ambae alikuwa ni zamalek zote za misri!
Sasa tueleze iyo fainali yako ya caf cup unayosema ndio ilikuwa shirikisho Babu yako ndio alikudanganya?
Kama ilikuwa ni fainali yenye umuhimu wowote kwanini amkucheza Africa super cup na wakacheza Aly ahly na zamalek?
Lile lilikuwa bonanza la mwanasiasa mashood abiola alikuwa na tofauti yoyote na mbunge cup!
We jamaa ukishindwa hoja una tabia ya kukimbia mijadala halafu unakuja kuiibua tena sehemu nyingine.

Mlipoenda kulishwa wali pale Ikulu halafu mkanyang'anywa mchezaji wenu kipenzi Feisal, Rais Samia aliwazodoa akawaambia nyie siyo wa kwanza nchi hii kufika fainali za kombe la shirikisho CAF.

Nimeona hapo juu unadai uonyeshwe picha za medali wakati jana tu zimepostiwa. Unagoma kabisa kushindwa.
 
Ngoja nikutoe tongo tongo naona unataka kupotosha ujinga unadhani wote ni vilaza anaowaongoza mangungu,,,
Kombe la washindi barani Africa mwaka 1993 ndio lilikuwa na hadhi ya kombe la shirikisho la sasa na sio bonanza la caf cup la mashood abiola ambalo Simba alicheza fainali!
Champions cup ambalo ndio lilikuwa na hadhi ya champions league kwa sasa mwakilishi alikuwa ni pamba ya mwanza alicheza na Aly ahly ya msri na wamisri walibeba kombe!
Baada ya kubeba kombe walikwenda kucheza fainali iliyoitwa Africa super cup 1994 na mshindi wa kombe la washindi barani Africa ambae alikuwa ni zamalek zote za misri!
Sasa tueleze iyo fainali yako ya caf cup unayosema ndio ilikuwa shirikisho Babu yako ndio alikudanganya?
Kama ilikuwa ni fainali yenye umuhimu wowote kwanini amkucheza Africa super cup na wakacheza Aly ahly na zamalek?
Lile lilikuwa bonanza la mwanasiasa mashood abiola alikuwa na tofauti yoyote na mbunge cup!
Hizi story za ally kamwe unatuletea jf jipate itakusaidia .
 
Simba ana mechi ngumu zijazo
Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7

24 February
Simba vs Azam
Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze kushika nafasi ya pili na kucheza CAFCL sio UMITASHUMITA shirikisho
Na Azam wana hasira, baada ya Ahmed Ali kuwaita Azam nzi wa choo, wala kinyesi. Hapa Simba na Azam zitagawana alama. Hii mechi ni sare.

1 March
Coast union vs Simba
Hii mechi itakuwa away huko Arusha
Tunajua Simba Huwa anapata Shida mechi za away na Huwa anashinda Kwabeleko Kwa maana ya red card na penalties. Waamzi wakitenda haki hapa ni sare au Simba apoteza, maana atakuwa ametoka kutumia nguvu kubwa kwenye Mzizima derby

8 March
Young Africans vs Simba
Hapa ndo balaa. Yaani Simba wanaoingia kwenye geto la Pdidy hapa lazima Simba wapakwe mafuta. Yanga atashinda goli 5+

Huu mtego Simba wamenasa
Yanga bingwa.

View attachment 3246865
Labda Kayoko aingie Kati otherwise tarehe8 FT : YANGA 1- 2 SIMBA,AZAM anakufa 3-1 ,Coastal anakufa 2-0
 
Back
Top Bottom