Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa?

Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na Mgunda aliyeifikisha Simba makundi.

Kwenye mashindano yale, tatizo halikuwa ni Nabi bali wachezaji wenyewe.
Tatizo la yanga bado halijafanyiwa kazi, footbal sio hesabu za cross multiplication kwamba kama 4=7 je 12 itakuwa ngapi,

Fikiria msim wa 2018/2019 makundi simba alikula hamsa kwa ahly na hamsa kwa vita, hesabu zingekuwa kama utavyoww bas hawa wawil wangeenda robo fainal lakin je, unakumbuka nan aliingia robo?

Tatizo lenu yanga midomo sana bila matendo, mfano siku hz kila siku club africain tutamtoa tukijipanga, mpak mech itafika bado hamjajipanga ila mnasema mkijipanga kwahiyo nae atawagonga tena maana hamjajipanga ila mnasema mtajipanga.

Nikirud kwenye hoja yako, agosto ashawah kuwa bingwa africa wkt hilal hajawah, kwahyo simba alicheza na timu ngum kuliko yanga sema nyie mliiona mech rahs kutokana na simba kushinda kirahisi kwa mtazamo wa machoni ila kwa wachezaj ukiwauliza watakueleza walivyo pata taabu kushinda

Pia ili kuthibitisha hila simba amewah kucheza na hawa wote, kwa mkapa agosto kala moja kwa mkapa hilal alikula nne nadhan umeona ipi ni bora kat ya hao

Mwisho kabisa, mpira hautumii cross multiplication, 23 octiber simba atashinda labza yanga waruke ukute tena kama kawaida yao na ndio maana kimataifa mnafurushwa maana kule hakuna kuruka ukura kama wachaw wa gamboshi
 
Tatizo hawa Utopolo hawajawahi kumiliki akili tangu utoto wao
 
Kama kawaida reference ya Yanga ni Simba, mtaendelea kupotea kwa kuhangaika na simba
 
Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa?

Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na Mgunda aliyeifikisha Simba makundi.

Kwenye mashindano yale, tatizo halikuwa ni Nabi bali wachezaji wenyewe.
Ndio
 
Pia naongezea simba haijawah kuifunga timu yeyote ngumu kuelekea makundi.. ref; nkana, platinum, red arrows na Agosto
 
Yanga hawajifunzi na kushughulikia matatizo yao maana wanaendeleza mabishano na excuses.
Ni kama nyie mnavoleta excuse kuwa mlifungwa ngao ya jamii sababu ni kocha zoran kumkosea sub.
Wakati huo huo hawakumbuki Nabi nae alipoona makosa alifanya sub ndo zikabadili mchezo.
 
Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa?

Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na Mgunda aliyeifikisha Simba makundi.

Kwenye mashindano yale, tatizo halikuwa ni Nabi bali wachezaji wenyewe.
acha inyeshe tuone panapovuja
 
Simba ni dude kubwa hiviii [emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] kuchukua kombe kwenu kimagumashi mala 28 ila hamjawahi hata kufika makundi club bingwa tangu 98 sasa huo uwezo na ukubwa ya yanga uko wapi kubalini tu kua nyinyi ni makubwa jingaaaaaa..
 
Tena wamewahi kufika mara moja makundi ligi ya mabingwa kati ya mara hizo 28 walioshiriki.

Hii ni Timu ya hovyo ndani ya Ardhi na soka la Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia naongezea simba haijawah kuifunga timu yeyote ngumu kuelekea makundi.. ref; nkana, platinum, red arrows na Agosto
Kwahiyo na kuvuka makundi kwenda robo fainali, haijawahi kukutana na team ngumu?[emoji23]

Ni vigezo vipi unatumia kusema kuwa hizo team sio ngumu, kwahiyo RIVERS UTD ni ngumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulingana na rank za CAF yanga kumfunga Simba ni bahati mbaya tu, sawa Al Ahly afungwe na Zamalek
 
Waambie kama timu Yao haipo hapo, basi wao ni vitumbua tu.

Waache kelele hata hiyo Al Hillal si bora kuliko Simba.

Hata hiyo Club Africain ni underdog mbele ya Simba kama walivyo wao.View attachment 2393327
Ndio uone De agosto haipo hapo kuonyesha kuwa ni kitimu kibovu sana, simba iko hapo lakini inachapwa na Yanga mfululizo kuonyesha kuwa Simba iko hapo kimchongo (kimakosa). Kaka hujui hata kufikiria na kutafakari.
 
Back
Top Bottom