Simba kufikwa na Msiba. CV ya Steve Barker inajadiliwa muda huu maamuzi kufanyika

Kunazidi kunoga. Kikao kinajadili CV ya Steve Barker kocha aliyepo Simba kwa Mkopo. Maana Yanga wakiamua ni suala la kugusa tu anakuja Yanga. Ndo maana kila kilichopo Simba sisi Yanga huwa tunaita kipo kwa Mkopo. Hata Mo Dewj tukimwitaji tunamchukua tu. Hii ni team ya Nchi.

Yeye mwenyewe mara kafhaa amekuwa akionesha kuikubali Yanga kuwa ni team ambayo ikitaka jambo lake lifanyike haishindwi. Hivyo inaonesha ni suala tu la Uongozi kumpigia simu kuwa avunje Mkataba Simba aseme anataka lipwa tsh ngapi au Usd ngapi apewe. Na hata akitaka na mke kama kifungashio atapewa.

Maamuzi yatafanyika kuangalia kama anafaa kuja Yanga au wamwache kwanza aendelee kukuza kuza kiwango chake Simba kabla hawajamchukua.

Mpango pia ni kumwambia aseme anataka kuja Yanga na wachezaji gani. Aandike list ya wachezaji awatakao na idadi yake. Kisha aje atulie Yanga. Jambo hili linaonesha kuwa tayari kutakuwa na milio mingi sana ikisikika kutoka Simba kuliko wakati wowote ule ulio wahi kutokea.

Kikao kitakapomaliza kitaamua nami nitawaletea mrejesho. Wanayanga mkae mkao wa kula. Furaha inarudi kwa kishindo. Ule msimu wa kuzimia kwa furaha unarudi kwa haraka kuliko bao la kwanza la mtu aliyekaa miaka 10 bila kubwenga. Ni kugusa tu Waarabu mwah mwah mwah... Hao wametinga. Yajayo yanafurahisha
Simba ya Beker inawasumbua sana akili
 
Naona uhuru umezidi sana hapa JF
 
Back
Top Bottom