Ilikuwa kosa kuwaruhusi wacheze mpira wao, Simba ilipoteza kabisa kwenye nafasi ya Kiungo, na kama unavyojua ukipoteza kiungo tu basi jua maumivu ni yako.Lakini pia ina changia malezi na mafunzo ya mchezaji tangia akiwa mdogo mana siku ile jioni tulipo kuwa training tulielekezwa jinsi ya u mark au Ku defense mnapo poteza mpira hautakiwi kuupa mngongo mpira tuliambiwa tucheki al haly na kweli wachezaji wa simba walikuwa wana Fanya makosa hayo ambapo al hly wakipoteza mpira walikuwa hawa upo mngongo mpira na Ku mark adui asiye na mpira .
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi Yanga tunajipanga tuwapige 6-0 mechi ya marudiano ligi kuu tarehe 16 ya mwezi huu wa pili teh teh teh!!
Simba hawana kiungo wanaokaba pia viungo wenyewe wazito,viungo wazuri ni at least nyoni na dilungaMkuu, ongea kwa facts, mchezo na AS Vita alitumia 4-4-2 na siyo 4 -5 -1; Hata hivyo hii mifumo hubadilika badilika nachoongea mimi ni lazima ujilinde ukiwa ugenini hasa kama unajua timu yako haina ubora wa kiufundi kama timu pinzani. Siku hiyo alimwanzisha Okwi na Kagere. Hapa alitakiwa abakie striker mmoa kisha kiungo mwingi mkabaji awe ndani.
Nachosema mimi ni kwamba unajua unacheza ugenini, wachezaji wako hawana ubora kama ule wa timu pinzani kwa nini usijaribu plan B ?? Nani atakucheka? Huwezi kucheza mpira ugenini kwa style ile ile unayocheza taifa na Stand United kaka, utaumia.
Tukisema hivi mnasema eti siasa, siasa ipo wapi hapa?? Kupaki basi si dhambi hata wakikucheka sawa ila walau umetoka na ka pointi kamoja ama kupunguza idadi ya mabao ya kufungwa.
Huwezi kufungwa goli 10 mechi mbilli za away huu udhaifu wa kiunfundi.
Mkude, Kotei, Muzamiru ni viungo wanaokaba au hujui maana ya viungo wakabajiSimba hawana kiungo wanaokaba pia viungo wenyewe wazito,viungo wazuri ni at least nyoni na dilunga
Hamna kitu hapo, mzamiru alikuwaga mzuri sema benchi limemmalizaMkude, Kotei, Muzamiru ni viungo wanaokaba au hujui maana ya viungo wakabaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani mkabaji halafu hauchezi tackling hata mojaMkude, Kotei, Muzamiru ni viungo wanaokaba au hujui maana ya viungo wakabaji
Sent using Jamii Forums mobile app
hii si hoja; mbinu zako zikiwa safi unaweza kuifunga hata timu inayokuzidi ubora.Hata ingetumika formation ya kupak basi kama morinyo, inabidi tukubali ya kuwa quality ya wacgezaji wa al haly na simba ni tofauti kabisa. Kuanzia individual hadi squad, Hivyo visingizio vinavyoletwa hapa ni kama mnataka kutuaminisha kuwa zilikutana timu za kiwango kimoja bali tumefungwa kutokana na mbinu za kiufundi. Yaani wale wachezaji wa al haly hata kuchukua mpira mguuni kwao tulikuwa hatuwezi, tunasubili pasi ipotee au goal kick. Siwezi kumlaumu kocha kwa quality ya wachezaji wa simba nilivyowaona, sisi tulisajili wachezaji wa kiwango cha ligi yetu, simba ni bora kwenye ligi yetu, ila bado sio bora kwenye klab bingwa, hata morinyo na pep ukiwapa timu cha kwanza wanatafuta quality players, hizo mbinu sijui 4 4 2 sijui 5 3 2 hazichezi mpira. Tukubali tulizidiwa.