Simba kufungwa 5, Misri: Lawama kwa bechi la ufundi la Simba

Simba kufungwa 5, Misri: Lawama kwa bechi la ufundi la Simba

Lakini pia ina changia malezi na mafunzo ya mchezaji tangia akiwa mdogo mana siku ile jioni tulipo kuwa training tulielekezwa jinsi ya u mark au Ku defense mnapo poteza mpira hautakiwi kuupa mngongo mpira tuliambiwa tucheki al haly na kweli wachezaji wa simba walikuwa wana Fanya makosa hayo ambapo al hly wakipoteza mpira walikuwa hawa upo mngongo mpira na Ku mark adui asiye na mpira .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pia ina changia malezi na mafunzo ya mchezaji tangia akiwa mdogo mana siku ile jioni tulipo kuwa training tulielekezwa jinsi ya u mark au Ku defense mnapo poteza mpira hautakiwi kuupa mngongo mpira tuliambiwa tucheki al haly na kweli wachezaji wa simba walikuwa wana Fanya makosa hayo ambapo al hly wakipoteza mpira walikuwa hawa upo mngongo mpira na Ku mark adui asiye na mpira .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa kosa kuwaruhusi wacheze mpira wao, Simba ilipoteza kabisa kwenye nafasi ya Kiungo, na kama unavyojua ukipoteza kiungo tu basi jua maumivu ni yako.

Niamini mimi kaka hao hao waliocheza juzi wakija kucheza hapa nyumbani na timu ile ile haitakua hivyo, Kwanza utashuhudia wageni watakuja na tactic nyingine tofauti kabisa hadi utashangaa. Mpira ni hesabu kaka ukiyumbisha dishi kidogo tu umekwisha.
 
Ni kweli na ndo mana napingangana na aina ya wachezaji wanao sajiliwa kutokea nje bora iwekwe sheria yoyote anae tokea nje sharti awe anacheza cheza first elven huko alipo toka ukiangalia kwa makini ni kama wawili tu au watatu walio kwenye form nzuri na tatizo kubwa jingine ni hawa wachezaji wetu wa ndani hawajafundishwa kabisa mpira mpira wanatumia vipaji vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, ongea kwa facts, mchezo na AS Vita alitumia 4-4-2 na siyo 4 -5 -1; Hata hivyo hii mifumo hubadilika badilika nachoongea mimi ni lazima ujilinde ukiwa ugenini hasa kama unajua timu yako haina ubora wa kiufundi kama timu pinzani. Siku hiyo alimwanzisha Okwi na Kagere. Hapa alitakiwa abakie striker mmoa kisha kiungo mwingi mkabaji awe ndani.

Nachosema mimi ni kwamba unajua unacheza ugenini, wachezaji wako hawana ubora kama ule wa timu pinzani kwa nini usijaribu plan B ?? Nani atakucheka? Huwezi kucheza mpira ugenini kwa style ile ile unayocheza taifa na Stand United kaka, utaumia.

Tukisema hivi mnasema eti siasa, siasa ipo wapi hapa?? Kupaki basi si dhambi hata wakikucheka sawa ila walau umetoka na ka pointi kamoja ama kupunguza idadi ya mabao ya kufungwa.

Huwezi kufungwa goli 10 mechi mbilli za away huu udhaifu wa kiunfundi.
Simba hawana kiungo wanaokaba pia viungo wenyewe wazito,viungo wazuri ni at least nyoni na dilunga
 
Hata ingetumika formation ya kupak basi kama morinyo, inabidi tukubali ya kuwa quality ya wacgezaji wa al haly na simba ni tofauti kabisa. Kuanzia individual hadi squad, Hivyo visingizio vinavyoletwa hapa ni kama mnataka kutuaminisha kuwa zilikutana timu za kiwango kimoja bali tumefungwa kutokana na mbinu za kiufundi. Yaani wale wachezaji wa al haly hata kuchukua mpira mguuni kwao tulikuwa hatuwezi, tunasubili pasi ipotee au goal kick. Siwezi kumlaumu kocha kwa quality ya wachezaji wa simba nilivyowaona, sisi tulisajili wachezaji wa kiwango cha ligi yetu, simba ni bora kwenye ligi yetu, ila bado sio bora kwenye klab bingwa, hata morinyo na pep ukiwapa timu cha kwanza wanatafuta quality players, hizo mbinu sijui 4 4 2 sijui 5 3 2 hazichezi mpira. Tukubali tulizidiwa.
hii si hoja; mbinu zako zikiwa safi unaweza kuifunga hata timu inayokuzidi ubora.

Lazima Mwalimu ajue mbinu za kucheza away games kwenye mashindano haya; huwezi kufungwa goli 10 kwa mechi mbili za away; hapa kuna tatizo la kiufundi .

Wachezaji wa Simba si dhaifu hivi kiasi ambacho mnataka kituaminisha.

Utahakikisha nachokuambia mimi hao jamaa wakija hapa; usitegemee watacheza kama walivyocheza wakiwa kwao; watawaachia simba wachezee na wao watakwenda mbele kwa kushitukiza.

Mpira wa leo ni Sayansi na Sayansi lazima uumize kichwa. ndiyo maana makocha wanalipwa ma millioni kwa kazi hii.
 
Back
Top Bottom