Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

Katika maisha neno,siwezi-hatuwezi,in short kujikataa au kuona huna uwezo wakufanya kitu huwezi fanikiwa kamwe,hii simba ingekua chini ya matola na mgunda ingefanya vitu vikubwa sn ilikua kosakubwa kuleta kocha Katikati ya msimu,kingine hawakufanya research ya kutosha kuhusu jamaa,team selection mbovu,formation mbovu..
Kwa mpira wa muatabu and Kanute hayupo alitakiwa kuanza na beki 3 nyuma
 
Tatizo la Timu zetu hazitaki kuwatema wazee na kuwapa nafasi vijana mfano kapombe, Bocco, Saido, Onyango, Mkude walitakiwa waachwe ili vijana wachukue nafasi, Sasa wao wanalea wazee tu.
 

Kwahiyo ulitaka apaki basi na sio kutafuta point tatu? Kocha hana cha kulaumiwa wacjeza wazee unategemea wakupe nn?
😂😂😂Yaani hata yule kocha wa casablanca akiletwa simba hakuna watachofanya mda mwingine ni psychology tu. Wale jamaa hawakucheza KWA nguvu walicheza mpira wa akili. Mkuu sema bongo janja janja kiukweli KWA hapa ndani wazuri ILA ukitaka kujijua uwezo wako usicheze na unaocheza nao kila siku. Timu zote nyeupe kichwani kwenye mashindano ya nje😂😂 sema ukweli ndo hatutakagi kusema tu
 
Ukweli mchungu😂😂😂
 
Kwahiyo Kapombe, Hussein, Kanoute, Sakho wote watimuliwe? Una matatizo ya kichwa wewe. Anzisha timu yako. Tuachie timu yetu
 
Kocha afanyeje sasa? Una wachezaji wazee plus vijana ambao uwezo ni mdogo. Wala sishangai maana viongozi wetu mara zote jumba bovu wanamwangushia kocha.
Kabla ya jana ulikuwa unalijua hili bro wangu
 
Binafsi nimekubali matokeo..silaumu mtu yeyote..wachezaji wetu walijituma sana..kwa uwezo wao wa mwisho..Jana tumecheza na timu bora.. wachezaji Bora Sana wa Raja..
Sijawai kuona timu ya kigeni inacheza vile kwa mkapa..
N.b tuache kuokota wachezaji..tunue wachezaji..
Lakini tukumbuke Morocco in mbinu Bora za kugundua na kukuza vpaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…