Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumwa kichaa.Kivp mkuu
Nasubiri hapaSubiri mkuu
Wacha wapigwe kama ngoma Losers Cup ndo tutaheshimiana umbwa hawa.Baada ya kutulia Toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museven na gentamicine nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao bravos Kwa kweli takwimu za bravos kuibuka na ushindi zinatisha
Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba ( note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao??????
Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily
NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup ( kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league
Makolo watakandwa heavily 2...0View attachment 3160930
UnazinguaBaada ya kutulia Toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museven na gentamicine nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao bravos Kwa kweli takwimu za bravos kuibuka na ushindi zinatisha
Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba ( note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao??????
Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily
NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup ( kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league
Makolo watakandwa heavily 2...0View attachment 3160930
Nyie ndio waoga wa matokeo (-ve),sisi tumeshazowea kutopata matokeo tarajiwa inawezekana pia.Ha haaa kivp mkuu
Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha.
Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba (note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao?
Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily.
NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup (kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league.
Makolo watakandwa heavily 2-0.
View attachment 3160930
Yupi mkuuNyie ndio waoga wa matokeo (-ve),sisi tumeshazowea kutopata matokeo tarajiwa inawezekana pia.
Nje ya mada:Nasikia za chini chini eti bloangu eti Gamondi alikiwa anakula mali ya kibopa hapo vyurani
Hilo ni kweli eti bloangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona ghaflaWataingia ila hawatatoboa
hata hii ya Al Hilal atapoteza kwa makusudi tenaYanga alipoteza mechi maksudi....unajua Kwann??
Safari hii unaahidi nini Simba isipofungwa? Ha ha haa, Muzee ya kula banSimba kufungwa