Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIKU HIZI WENYEWE, WANAJIITA SOKWE MJI.Shabiki wa utopolo wameanza kuweweseka
Hii utopolo iliyolambwa na Tabora 3 itashindwaje kupigwa 5 na Al Hilal ya Master Ibenge.
UTOPOLO, SIKU HIZI WANA JIITA SOKWE MJI.Nan hao
Fatuma (Fetty) wa Kitambaa Cheupe na hata Mlango wa Kusi Dada huwa anaruhusu Watu kupita na Boss ni Mdau huko.Nyie ndio waoga wa matokeo (-ve),sisi tumeshazowea kutopata matokeo tarajiwa inawezekana pia.
Nje ya mada:Nasikia za chini chini eti bloangu eti Gamondi alikiwa anakula mali ya kibopa hapo vyurani
Hilo ni kweli eti bloangu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,na bado hawajasema na misindano yao waliyoshtukiwa,leo ni maafa tena kwaoFatuma (Fetty) wa Kitambaa Cheupe na hata Mlango wa Kusi Dada huwa anaruhusu Watu kupita na Boss ni Mdau huko.
Eti?Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha.
Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba (note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao?
Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily.
NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup (kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league.
Makolo watakandwa heavily 2-0.
View attachment 3160930