Simba kufungwa Novemba 27,2024. Yajayo yanatisha

Chonde Chonde Wana Yanga nunueni tiketi...!

Nunueni tiketi bila kushawishiwa kwa SUPU..! Msije tia aibu.

Wenzenu Wana Lunyasi tiketi zinakaribia, Acheni kuhangaika na Matokeo ya Mechi ya Simba.
Ticket zimeisha mkuu
 
Wacha wapigwe kama ngoma Losers Cup ndo tutaheshimiana umbwa hawa.
 
Unazingua
 
Ha haaa kivp mkuu
Nyie ndio waoga wa matokeo (-ve),sisi tumeshazowea kutopata matokeo tarajiwa inawezekana pia.

Nje ya mada:Nasikia za chini chini eti bloangu eti Gamondi alikiwa anakula mali ya kibopa hapo vyurani

Hilo ni kweli eti bloangu?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
FT 2-1/
 
Yupi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…