Simba kufungwa Novemba 27,2024. Yajayo yanatisha

Mzee wa siioni simba akishinda leo au utasikia simba leo akimfunga fulani nipigwe ban.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee wa siioni simba akishinda leo au utasikia simba leo akimfunga fulani nipigwe ban.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa nafanya uchambuzi makini mkuu
 
Fatuma (Fetty) wa Kitambaa Cheupe na hata Mlango wa Kusi Dada huwa anaruhusu Watu kupita na Boss ni Mdau huko.
 
Fatuma (Fetty) wa Kitambaa Cheupe na hata Mlango wa Kusi Dada huwa anaruhusu Watu kupita na Boss ni Mdau huko.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,na bado hawajasema na misindano yao waliyoshtukiwa,leo ni maafa tena kwao
 
Eti?
 
Jamaa unamoyo mgumu kilasiku unaangukia pua ila hauchoki.

Halafu wewe unagundu kinyama. Sema haujijui tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…